Al Shabaab releases pictures of Kenyan POWs!

Technically...., hao sio pows..., ni civilians,, angalia occupation zao.., anayekuwa classified kama pow combatant.., mtu anayeshiriki vita moja kwa moja..., huwezi kamata civilian afu ukasema ni pow
 
These are pictures of the two Kenyan officers who were captured by al Shabaab when members of the terrorist group attacked a Kenyan police camp in Gerille, in Wajir district near the Somali border, six days ago.
View attachment 45660
Hawa mateka wako hatarini (especially given the fact that they are all Christians). Al Shabaab is now using them for all it's worth in their propaganda strategy. I hope the Kenyan military will work out a rescue operation that will set the two free!
Poleni sana
 
Hivi hawa jamaa wa Alshabab wanachotaka ninini? Obvious kinachoendelea hakihusiani kabisa na dini inataka mwanadamu afanye nini. Ni biashara na uharamia kwa kwenda mbele
 
Jeshi la kenya linatakiwa kufanya kazi ya ziada kuwaokoa hawa jamaa,maana alshabaab ukiacha wapo vitan,hawa jamaa kwao ni infidels,na koran inawaruhusu kuua infidels


nyuso zimewavimba umejuaje?ulikuwa unawafaham kabla hawajakamatwa?wacha kuropoka
Unajua sababu za USA kujitoa somalia?

huyu kafurahi sana,ila ni walewale waliokuwa wakimshangilia osama na gadafi,leo hii hata makaburi yao hawajui yalipo,hivyo hivyo hawa alshabaab watapotea bila wao kutegemea
22_paul_watson-jpg.jpeg

 
Hawa watu ni makatili na wanyama. Jana nilikuwa ninafanyia kazi habari ya tukio katika mji wa Beledweyne uliokuwa unadhibitiwa na al-Shabaab na kukombolewa a majeshi ya UMISOM, kumegunduliwa kaburi la halaiki ambako mpaka sasa wamefukua miili 21 kukihofiwa kuwa kuna miili mengine zaidi. Baadhi ya miili hiyo imekatwakatwa viungo, mengine haina vichwa, imefungwa kamba mikononi kwa nyumba au kufungwa macho. Sasa akatokea mtu akadai kuwa hawa ni Waislamu, nina wasiwasi na uislamu wa mtu huyo.
 
hawa walikuwa ambushed-ila si kusema USA wameshindwa,kama ni vijana wao wasiozidi 30 kufanyiwa hivi unataka kusema usa wamewashindwa,you're wrong
tafuta sababu gani puntland ilijitenga na somalia,na kwa nini puntland wameruhusu western firms kuchimba mafuta,leo hii canadian firm wameshaanza hiyo kazi,
 
Hamna muislaam anye furahia ukatili. Uislaa haufundishi ukatili ILA KWA ANAYEANZA UKATILI DHIDI YA UISLAAM AU WAISLAAM. Kama kenya wasinge ingilia hali iliyoko somalia na shabaab wala wasinge waigilia. Umewaona askari wa kenya wanavyo wafanyia wasomali katika kambi za wakimbizi?
 
Msidanganye watu kuwa hii ni vita ya Wakenya na Al Shabab, hii ni "crusade" iliyoanzishwa na Bush, hatudanganyiki:

Publisher: NTV Kenya
Publication Date: October 23, 2011
Copyright: 2011
Publisher Website: NTVKenya's Channel - YouTube
Language: English

A fresh attack by a US Unmanned Aerial Vehicle is reported to have killed at least 44 people and injured 63 others in southern Somalia. International Media reports indicate the attack took place in Bur Gavo near Ras Kamboni. The attack came as the Kenyan Defences Forces and their TFG counterparts moved closer to Bur Gavo. NTV's Pamela Asigi reports.
 
[h=1]Ex-US Army soldier arrested over aid to Somali militants[/h] 09 Jan 2012 19:01
Source: reuters // Reuters

WASHINGTON, Jan 9 (Reuters) - A former U.S. Army soldier trained in intelligence and cryptology has been arrested and charged for trying to help the Somali al Shabaab militant group, an al Qaeda affiliate, the U.S. Justice Department said on Monday.
Craig Baxam, 24 and from a Maryland suburb outside Washington, was arrested by Kenyan authorities last month as he tried to cross the border into Somalia to join the group, federal prosecutors said.
He enlisted in the U.S. Army in 2007 and was deployed to Iraq. He re-enlisted in August 2010 and was deployed to South Korea for one year, but he left a month before completing his term, according to an FBI affidavit.
During his final days in the military he converted to Islam, it said.
Baxam flew from Baltimore to Nairobi on Dec. 20 and tried to make it by bus and taxi to the Somali border, according to the court papers.
He had planned to offer $600 to $700 to al-Shabaab after crossing into Somalia, prosecutors said. Asked what role he had hoped to play for al Shabaab, Baxam said he would just be another body there, the FBI affidavit said.
He was interviewed by FBI agents in Nairobi in late December. Baxam said he wanted to die "with a gun in my hand," and that he would be happy to die defending Islam, according to the FBI affidavit.
He was arrested when he arrived back in the United States on Jan. 6. Charged with trying to provide material support to al Shabaab, if convicted he faces up to 15 years in prison.
The U.S. government has designated the al Qaeda-affiliated organization a terrorist group, and al-Shabaab has sought to recruit Americans to fight for them in Somalia. The group claimed responsibility for a deadly 2010 bombing in Uganda and has waged a long, violent battle to control Somalia. (Reporting By Jeremy Pelofsky; Editing by Philip Barbara)
source:Ex-US Army soldier arrested over aid to Somali militants - AlertNet
 
Hivi hawa Al shabab wanaubavu gani wakupambana na Marekani jamani, sisi wenyewe watanzania tukiwasimamisha wanaume kutoka monduli hawa mabwana wa Al shabaab lazima wakae.Hao Al shabaab kwa huko kenya nako wameingia choo cha kike utasikia shughuli yake, tatizo lao ni kwamba wanapiga kwa kuvizia kisha wanakula kona na hapo tu ndipougumu unapokuja ama wanakimbilia katikati ya wananchi na inakuwa ngumu kuwachanganya wananchi wasio na hatia, wanatumia wananchi kama ngao yao hawana ubabe wowote hao.
Si walitishia kuja kuleta chokochoko bongo ulisikia walivyofyata.
 
Watu kama nyie hamuwezi kucha kushangilia uovu!!!!!!!!

Soma hizi habari utajuwa muovu ni nani:

Africa Rights, a newly formed human rights body, accuses the United States-led operation of 'grave breaches of the Geneva Conventions' and acting with 'near-total impunity'. Complaints procedures against the UN are woefully inadequate, the report says. It calls on the UN to reverse the policy of militarisation of the aid operation and for strict adherence to the Geneva Conventions.

Soma zaidi: UN soldiers accused of atrocities in Somalia: Human rights group urges adherence to Geneva Conventions - World - News - The Independent
 
Back
Top Bottom