Al shabaab na watanzania

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,522
1,045
Tanzanian Alshabaab member Issa James Mwaisige executed by Alshabaab for allegedly spying for Rwanda and US. A number of Kenyan and Tanzanian jihadists are been detained by Alshabaab on similar accounts -by yassin juma


15203120_10210143015506221_8204540303296630649_n.jpg


Japo visa vya vijana kujiunga na alshabaab hapa Kenya vipo, kifo cha bwana kama huyu is one too many!! vijana wanapotoshwa kujuinga na vita hazina tija. sioni dini hapa kwa al shabaaab ujangiri mtupu!!!
 
Vijana wa kitanzania wanaingia al-shabab kupitia mombasa, mombasa wengine hushawishiwa na pesa/hali ngumu ya maisha+wengine dini, ila wanaingia "secretly"
 
Alshabaab wa kibongo wengi tu, sleeper cells zipo nyingi alafu sympathizers ndio usiseme.

 
Leo Mumias bunduki smg saba zimeporwa, nyie endeleeni kukenua! Na video za marehemu al shaababs wannabe ambao jeshi la Polisi la Tanzania liliwashughulikia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom