Al Shaabab kuua wasioheshimu Uislam hapa Tanzania

Wana jf,jana jioni baada ya futuru niliungana na waislam wenzangu hapa manzese kupashana habari mbalimbali. Kijana mmoja aliingilia mazungumzo yetu na kuanza kutoa hadidhi ndefu juu ya ujio wa kundi maja la waislam kutoka nchi moja ya jiran kwa ajili ya kuwaadabisha watu wanaoitumia sikukuu ya eid vibaya. Msimuliaji aliendelea kudai kuwa kundi la kwanza kuadabishwa ni ansar suna,alieleza kuwa kama kundi hili la waislam litasari sara ya eid sikumoja kabla ya waislam wengine basi wote watateketezwa palepale jagwani. Msemaji alieleza kuwa kwa sasa wataalam hao wa maangamizi wanaendelea kutembelea kumbi mbalimbali za starehe hasa zile zinazotangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa zitakuwa na shughuri mbali za starehe wakati wa eid. Lengo la kutembelea kumbi hizi ni kuangalia namna ya kutekeleza maangamizi kwa ufanisi na kujiokoa. Jf hebu tu-discuss juu ya jambo hili kwa kina ili kuona ukweli wake na mwenye habari zaidi atujulishe.
Mpaka unaileta hapa je umesharipoti kwa vyombo veytu vya usalama? Hawa terrorists ni balaa wasije wakaharibu iid yetu na nchi yetu hebu wewe na huyo kijana ripotini hao wanazunguka kwa Kova, IGP na sehemu husika mara moja
 
Al Shaabab wamesikia kuna Pastor marekani anataka kuchoma moto Kuran? Kama wana ubavu wamfuate basi huyo Pastor anaekashifu uislamu. Ujanja wao ni kuonea wanyonge tuu hawana lolote.
 
UwT mmeiona hii?
haya tuilinde nchi yetu na si viongozi pekee
 
Wapo wanalindwa hawa watu.

Kama ilivyosemwa ni kweli, basi watashambulia tena na CCM wakiwa wanamlinda KINANA.

Wakitaka kujua basi KINANA abanwe mbavu aseme anajua nini...........
UwT mmeiona hii?
haya tuilinde nchi yetu na si viongozi pekee
 
Mh! stori yenyewe ya kijiwe cha kahawa? halafu neno Al-shabaab limekuwa kama utani siku za hivi karibuni utalisikia likitumika kila sehemu ni kama Faluujah enzi zile za vita vya Iraq.
 
kweli, mimi ningalimshauri huyo mwenye habari kamili aende kwenye vyombo husika atoe taarifa ili waandaji wakamatwe na washtakiwe
======

Utajuaje labda ni mmoja wao, anatafuta kuwazuia Answar Sunna wasifanye Idd kabla ya Bakwata.

Mazrui alisema, "Adui wa kwanza wa Uislam ni Ukiristo kama wanavyodhani baadhi ya Wasilam, bali ni Islamic Fundamentalism". Aliendelea mbele kusema, hata utandawazi unaumaliza Uislam kwa kasi ya ajabu. Alithibitisha kuwa akina dada wasomi wa Kiislamu wanaweza kuvaa baibui lakini huku ndani wakishikilia humburger yenye pork na wanaipenda kwa sababu internet ina-market kwa nguvu wasiyoweza kujizuia.
 
Wana jf,jana jioni baada ya futuru niliungana na waislam wenzangu hapa manzese kupashana habari mbalimbali. Kijana mmoja aliingilia mazungumzo yetu na kuanza kutoa hadidhi ndefu juu ya ujio wa kundi maja la waislam kutoka nchi moja ya jiran kwa ajili ya kuwaadabisha watu wanaoitumia sikukuu ya eid vibaya. Msimuliaji aliendelea kudai kuwa kundi la kwanza kuadabishwa ni ansar suna,alieleza kuwa kama kundi hili la waislam litasari sara ya eid sikumoja kabla ya waislam wengine basi wote watateketezwa palepale jagwani. Msemaji alieleza kuwa kwa sasa wataalam hao wa maangamizi wanaendelea kutembelea kumbi mbalimbali za starehe hasa zile zinazotangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa zitakuwa na shughuri mbali za starehe wakati wa eid. Lengo la kutembelea kumbi hizi ni kuangalia namna ya kutekeleza maangamizi kwa ufanisi na kujiokoa. Jf hebu tu-discuss juu ya jambo hili kwa kina ili kuona ukweli wake na mwenye habari zaidi atujulishe.

stori za kijiweni baada ya kushiba! JF tunatka story zenye ushahidi.. magaidi wa alshabab walishaweka wazi wao ugomvi ni yale mataifa yenye majeshi ndani ya somalia.. ndio maana muheshimiwa wetu raisi aliyaona hayo siku nyingi
 
itabidi mkuu utafutwe na anti-terrorist squad utoe izo intelligence, uwapeleke hapo kijiweni kwenu ili wafuatiliwe na kutiwa nguvuni!
 
Back
Top Bottom