Al Shaabab kuua wasioheshimu Uislam hapa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al Shaabab kuua wasioheshimu Uislam hapa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Sep 6, 2010.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wana jf,jana jioni baada ya futuru niliungana na waislam wenzangu hapa manzese kupashana habari mbalimbali. Kijana mmoja aliingilia mazungumzo yetu na kuanza kutoa hadidhi ndefu juu ya ujio wa kundi maja la waislam kutoka nchi moja ya jiran kwa ajili ya kuwaadabisha watu wanaoitumia sikukuu ya eid vibaya. Msimuliaji aliendelea kudai kuwa kundi la kwanza kuadabishwa ni ansar suna,alieleza kuwa kama kundi hili la waislam litasari sara ya eid sikumoja kabla ya waislam wengine basi wote watateketezwa palepale jagwani. Msemaji alieleza kuwa kwa sasa wataalam hao wa maangamizi wanaendelea kutembelea kumbi mbalimbali za starehe hasa zile zinazotangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa zitakuwa na shughuri mbali za starehe wakati wa eid. Lengo la kutembelea kumbi hizi ni kuangalia namna ya kutekeleza maangamizi kwa ufanisi na kujiokoa. Jf hebu tu-discuss juu ya jambo hili kwa kina ili kuona ukweli wake na mwenye habari zaidi atujulishe.
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni hatari mno kwa taifa letu. Ni vema taarifa juu ya hiyo wakapewa mapema vyombo vya dola pamoja na wahusika ili wakae chonjo.
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hii imekaa ki-GPL...!
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Umekwisha mtaarifu Kova na Mwema?
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Haya washabiki wa Mahakama za Kadhi na OIC, fungueni macho yenu, acheni kushabikia hatari! Mliyaona huko Uganda wakati wa michuano ya Kombe la Dunia, msisubiri nyoka aingie ndani ya nyumba kisha muanze kazi ya kumtoa!
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ulitaka aandike Sheikh Yahya ndio uamini?
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Habari hii ina maana kubwa na kamwe haiwezi kuitwa udaku, hasa kwa tahimini ya kile al shabaab wanatekeleza sasa hivi, la msingi ni kwa vyombo vya usalama kuangalia taarifa hizi na kuzifanyia kazi, ni lazima tuchukue tahadhari kwa mfano mtu akiamua kujilipua pale san siro au bill canas ni maisha ya watu wangapi yatapotea? Lakini pia tuhoji umathubuti wa ulinzi na ukaguzi milangoni kwenye majumba ya starehe unatosha na ni wa uhakika?
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh mzaha mzaha hutumbuka usaha, ni vema mapemaa taarifa zipelekwe kwa wahusika maana lisemwalo lipo na kama halipo laja.
   
 9. P

  Percival JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Haya maneno hayana maana yoyote. Hao magaidi wanatangazia watu katika migahawa wanachotaka kufanya siku ya idi !! hii inaingia akilini ? Tungoje labda leo wataweka tangazo ukurasa kamili kwenye magazeti.
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwani Manzese hakuna watu? nui wanyama na watu wapo Masaki?
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tuliambiwa bungeni kwamba MIPAKA yetu ipo salama kabisa. je hawa walumendago wanapitia wapi?
  ina maana rushwa wanayopokea UHAMIAJI ndio itakuwa mauti yetu?
  Kuna wageni wangapi? kwa malengo gani? nani anawafuatilia nyendo zao? Nyie wanausalama acheni kula kodi zetu kwa kujiambatanisha na misafara ya wagombea. Mtulinde sisi na vizazi vyetu au la mjivue viapo vyenu ili wanaume tuingie kazini kuilinda nchi
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii habari hata mimi nimeisikia sasa ina kama wiki na wenzetu wa arusha wanajua pia... hili si suala la kubeza kwani fanatic people ni psychotic people; they start like a play or something but they end up doing exactly what their hot heads tell them to

  hii ni alert na natumaini kwamba inafanyiwa kazi
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  au weye ni mhusika?
  mbona ishu ya hatari kwa usalama wa nchi unaipuuzia?
  Alqaeda waliionya marekani kuwa watailipua wao wakapuuzia na ikaja kutokea kweli.
  Man/Woman be responsible japo one second
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hata hiyo hofu yako ni shaka tosha kufanyia kazi. Unasema polisi, unadhani wabongo wooote wameelimika kujua ishu ipi iende polisi na ipi wapi? kuna watu wanajua kuwa polisi kazi yao ni kudeal na wezi na majambazi tu!
  Shaka yoyote inayohusu USALAMA wa nchi si ya kupuuzia mpaka ichunguzwe na kujulikana kwamba imetungwa.

  Unaweza kutupa darasa hapa kuhusu hili tishio na dhana ya utungaji wa hii story?
  Nadhani kuna kitu unaficha shekhe ili tuhadaike kuwa haipo. SEMA UKWELI
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hii habari si ya kuipuuza kabisa, maana hawa jamaa baada ya kukiri kulipua pale Kampala walisema mashambulizi zaidi yatafuatia katika nchi nyingine. Wananchi inabidi tuwe makini maana lolote linaweza kutokea.
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  SUNNA ya mtume
   
 17. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa taarifa. Ngoja niwasiliane na vijana wangu wa UWT. Hii si habari ya kupuuzia hata kidogo. Tutahakikisha vyombo vyote vya usalama vinajipanga vizuri kuzima jaribio lolote la uhalifu
   
 18. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  This is hot air!!!!!
   
 19. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Waislamu wa Dar es Salaam ndio waliowaita hao El Shabab, na wao ndio wamewapa hifadhi katika nyumba iliyopo Mtaa wa Mikumi pale Magomeni.
  Habari ndio hiyo
   
 20. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #20
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii habari ni muhimu tuijue na kuchukua tahadhari...mtoa habari ataje source yake isaidie polisi kuchunguza hili..siku hizi kusaidia polisi ni tofauti kidogo na zamani ambapo mtu hukimbia na kujificha akiambiwa asaidie polisi...ila kama imeshasikika basi waliosikia na wenye uhakika waende kuvitaarifu vyombo vya dola kwani madhara ya matukio hayo ni makubwa hata hujaguswa 100%.
   
Loading...