Al-Qaeda yatoa msaada Somalia

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Mtu mmoja anayedai kuwa anatoka kundi la al-Qaeda amesambaza chakula cha msaada nchini Somalia, na kuashiria kuhusika kwa kundi hilo na wapiganaji wa al-Shabaab.
Mtu huyo aliyetambuliwa kuwa ni raia wa Marekani, Abu Abdulla Almuhajir, na akizungunza kwa lafudhi ya Kimarekani, aligawa chakula, hijab na Korankwa watu waliopo katika kambi karibu na mji mkuu, Mogadishu.
Inadhaniwa kuwa huu ni mgao wa kwanza wa msaada wa al-Qaeda nchini Somalia ambayo imekumbwa na ukame.
Al-Shabaab imekataza mashirika ya misaada kufikia maeneo inayodhibiti.
Al-Shabaab inasema baadhi ya mashirika ya kimataifa yana ajenda ya kisiasa na wamekuza kiwango cha tatizo lililopo.

chanzo: BBC Swahili - News In Brief - al-Qaeda yatoa msaada Somalia
 
safi waacheni waislam wawasaidie waislam wenzao!marekani anatuma kila siku somalia ndege zisizo na rubani na kuua raia wenye njaa.
 
Hakuna Alqaida ya kweli duniani.Huyo aliyegawa chakula anatoka makao makuu ya huo mtandao wa CIA.
 
Viongozi wote wa mtandao wa Alqaida wako Guantanamo au wameuliwa lakini bado unafanya kazi.Na hautakufa kirahisi mpaka wajiridhishe wamefanikiwa katika vita vyao dhidi ya uislamu na kupigania mafuta na utajiri wa dunia.Ndio maana sasa wanazusha maadui wapya akina Joseph Kony.
 
Hakuna Alqaida ya kweli duniani.Huyo aliyegawa chakula anatoka makao makuu ya huo mtandao wa CIA.

Sasa hivi mtandao umetuzindua, hawa ma-freemasons waache kuhadaa walimemwengu.
Wenyewe ndo walounda Al-Qaida na sasa hivi wanatumia kwa visingizio mbalimbali,

Naombeni mfate hizi link..
Al Qaeda: A CIA Database | Not A Terrorist Group « Truth11
Existence of "Al-Qaeda" Is Crap; Quite Literally

'Al Qaeda': How the Pentagon/ CIA Made an 'Enemy'
"Al Qaeda" is a CIA "Database"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom