Al-Qaeda yathibitisha kifo cha Osama!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-Qaeda yathibitisha kifo cha Osama!!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, May 6, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Yatoa taarifa kupitia mitandao ya kijihadi http://bbc.in/inmKsS
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini hii kitu imegoma kabisa kuniingia akilini lakini?
   
 3. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kivipi bi dada?
   
 4. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sie wagema ulimbo tutasikia mengi
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ninyi ndio mnaoamini kila pumba!Unajuaje kama walio-comfirm ni Al-Qaeda kweli. Ovyooo.Wamarekani wamemwaga hela nyingi sana ili pumba yao ya kuuwawa kwa Osama ikubalike.Halafu kumbuka vikundi vyote wanavyoviita vya ugaidi is their brain child!
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu Gaidi Osama kauwawa na Marines wa US hakuna haja ya kuthibitishwa na mtandao wa hao magaidi wenzake.
   
Loading...