kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,444
- 2,346
Labda kushinda njaaYanga ishajulikana anashinda ila Simba, maji shingoni kwa waarabu
Labda kushinda njaaYanga ishajulikana anashinda ila Simba, maji shingoni kwa waarabu
Mkuu waarabu wakina kucheza kwetu wanajitegemea kila kitu, hujaskia simba wanalalamika kuhujumiwa na azam?, sheria zinataka timu mwenyeji amuhudumie mgeni lakini waarabu hawatakiKiutaratibu timu mwenyeji hulazimika kuwapokea wageni wao.Kwa hiyo, ni SIMBA ndiyo itakuwa imefanya hayo.
Mbona mbishi bro katafute ufafanuzi walioutoa simba juzi na Azam..simba waliandika barua kwa Azam na kukodiMkuu waarabu wakina kucheza kwetu wanajitegemea kila kitu, hujaskia simba wanalalamika kuhujumiwa na azam?, sheria zinataka timu mwenyeji amuhudumie mgeni lakini waarabu hawataki