Al-Kasusi au Al-Kasusu ni kinywaji gani? Kinasaidia nini mwilini?

maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua,
maamuzi ya kupata rishe bora bila gharama ni ya kwako,
jifunze jinsi kupata rishe bora kwenye majirida,vitabu,hata humu kuna thread za rishe bora,
TAFUTA UJIFUNZE
Kwan wewe una kula nini mwenzetu
 
Kingsmann, Acha kupotosha ile ni kama kahawa na haina chochote imeanzia Zanzibar, Tanga sasa ipo mitaa ya Lindi, Mtwara na Dar.

Naipenda inafanya mwili urelax na kupunguza maumivu mwilini. Naipendea usafi pia maana vikombe vyake ni single use.
Nipo Zanzibar na ndio kwanza naisikia sasa.
 
Hi,

Natumai kuna mlio wahi itumia au sikia na mnahàmu ya kutumia. binafsi nimetumia na sijaona side effeçt za presha wala nini.

Naomba kueleweshwa matumizi ya muda mrefu yana madhara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al kasus si mchezo hii kitu niligongea juzi... Jeceel una hoja?
 

Attachments

  • 20200121_202535.jpg
    20200121_202535.jpg
    80.7 KB · Views: 30
Mi napanga kuliiba Hilo jina maana halina copyright,then ntaanzisha kinywaji changu,bado nahangaika kupata package tu😁😁
 
Jamani mwili wangu ilikuwa unauma katibu wiki nasumbuliwq na maumivu ya nyonga na shingo nimekunywa jana Leo asubuhi nimeamkia chooni nimeharisha maumivu yote yameisha na mwili umechangamka sana nililuwa naizarau lakini kuanzia sasa nitakuwa nakunywa kila wiki mara moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom