Al-Jazeera walipoenda undercover na kufanya kazi za Polisi wa Tanzania (Video ya Mauaji ya Albino)

"Aisifuye Mvua Imemnyea"
Naamini sasa watu wanapoambiwa lazima CCM itoke madarakani ili nchi ianze kusonga mbele wataelewa.mfumo wetu wa viongozi ni washiriki wakubwa sana wa mambo ya kishirikina,na ukiangalia uhusiano uliopo kati ya umasikini na ushirikina ni mkubwa.palipo na ushirikina pana umaskini mkubwa.na ndio maana raisi wetu hajui kwa nini nchi yetu ni masikini wa kutupwa.Jibu leo limepatikana ni "ushirikina"asilimia kubwa sana ya Viongozi wa CCM ni washirikina ukitaka kulijua hilo subiri uchaguzi utakapowadia.FF yuko wapi/ huwa anatetea upuuzi sana humu jamvini.

Hivi unaamini ushirikina unaweza kuchagua chama?
 
Ndugu zangu, tusisahau wadanganyika…ooops sorry, I mean Watanganyika..hah..sorry again.. I meant.. Watanzania.. wote Tumelogwa.. yaani Ingawa uwezo wetu wa kufikiri ni mkubwa..lakini jamaa aliyetuloga ameufanya uwe unafikiri katika “Reverse order”.. yaani “kinyumenyume”..

Kwa mfano
  • mwandishi wa habari ambaye ni mzuri katika investigative journalism badala ya kutumia ujuzi wake kufanya kazi kama hiyo ya Aljazeera basi in Tanzania atatumia ujuzi huo kwa “reverse order” na kufuatilia kina Kanumba na Uwoya na kuandika habari kwenye gazeti la uwazi au atajifanya mpelelezi na kutuletea habari za majungu hapa JF…
  • Polisi mahiri badala ya kufuatilia majambazi atapoteza muda wake kwa “reverse order” na kukimbizana na Chadema…
  • Mwanasiasa mahiri badala ya kutetea wananchi na taifa lake ata “reverse order” na kutetea posho ya tumbo lake na changudoa kule dodoma..
  • Askari Traffic badala ya kufuatilia uvunjaji wa sheria atapoteza muda kufuatilia kama gari lina Jack, sticker za usalama barabara na Vibabaji…
  • Na mwisho baadhi ya viongozi wetu.. badala ya kuongoza .. kwenda mbele.. wataongoza in Reverse order… Yaani wao ndio watasubiri kuongozwa na mafisadi…

mmi kweli umetulia kama jina lako. Hasa kwenye kipengele cha reverse order.
 
wadau hawa jamaa wanarudia kile kipindi la biashara ya albino tanzania,yaani picha na sura ya tanzania inazidi kuwa mbaya usoni mwa mataifa.Angalia iko hewani
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom