Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 670
- 1,388
Huu mwili wetu kweli mungu ameuunda kikamilifu sana.
Nilikua naangalia taarifa hapa al jazeera inasema ma-docta wawili James P. Alison US na Tasuku Hunjo wa Japan wamegundua njia ya kufanya kinga ya mwili kuweza kupambana na genes mutation za cancer. Kwa mujibu wa al jazeera wameweza kufanya immune systeam ya mwili kuweza kushinda na kutibu cancer ya ngozi
wameweza kujishindia tuzo yao ya Nobel prize for medicine/physiology
Baada ya kama miaka 10 mbele kutakua na chanjo ya cancer kama sio dawa kabisa
Credit: Al Jazeera.