Masanja,
Nakubaliana na wewe ktk sehemu nyingi sana ila hii ya mwisho ambayo umesema Giulian hawezi kumshinda huyu Mama ktk National election. Trust me on this yeyote toka Rep akisimama na huyu mama fainali atashinda! a bitter reality...not necessary the truth.
Babu hiyo ndio Fainali kombe uwanjani. Republican pamoja na makosa yote ya Bush watapata mwanya mzuri sana wa ku rebound ikiwa Clinton atasimama kugombea. Ikiwa hawa jamaa waliweza kupata weekness za Kerry dakika za mwisho, wakaiba Kura ktk chaguzi zaidi ya moja leo hii watashindwa wakisimama na Clinton.
Subirini fainali sasa hivi wanatazama ugonvi wa legue ndani ya Demokratic, fainali pale watakapo kuwa Rep vs Demo. Utamhurumia huyu Mama pamoja na kwamba ni mzoefu wa siasa za jikoni, subiri mambo yakifika Ukumbini ktk baraza la wazee. Atatafutiwa fitna wenyewe mtamhurumia.
kama alivyosema Mtanzania November 2008 haipo mbali na kwa dalili hizi za mama Clinton, Obama na Edwards nina hakika Rep watachukua tena kwani kinachogomba sasa hivi ni kuyaondoa majeshi Iraq tu. Rep wakifanya hivyo basi madhambi yote ya Bush yatabaki ya Bush...American Public wengi hawafahamu kabisa siasa za nchi yao nje zaidi ya kufikiria kuwa Marekani ipo Iraq kutoa msaada tu.