Al Gore Likely To Get Nobel Prize

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
This would pretty much guarantee he would never be president.It's pity Americans do not elect brilliant, noble, good people with integrity and the best intentions. If he gets it i suspect The United States Supreme Court will rule that the Nobel votes were improperly counted, and award the prize the GW Bush instead.

we live in interesting times in deed!

btw you can have a look at the trailer here:

http://video.google.com/videoplay?docid=2078944470709189270


Gore, who has raised awareness with his book and Oscar-winning documentary "An Inconvenient Truth," and Canadian Inuit activist Sheila Watt-Cloutier, who has shed light on how global warming affects Arctic peoples, were nominated to share the prize by two Norwegian parliamentarians.

"I think they are likely winners this year," said Stein Toennesson, director of Oslo's International Peace Research Institute (PRIO) and a long-time Nobel Peace Prize watcher
.


http://tinyurl.com/32odad
 
kuna taarifa kuwa kapata

looks like the whole Nobel thingi ishakuwa farce

Ndio keshaipata:

Gore and UN panel win Nobel prize

Al Gore's film An Inconvenient Truth was an unlikely box office hit
Climate change campaigner Al Gore and the UN's Intergovernmental Panel on Climate Change have been jointly awarded the Nobel Peace Prize.
 
Hawa nao wanatuyeyusha kwani ile ni nishani ya Amani au mazingira? Haya nayo ni mazingaombwe ya kimataifa....
 
Hawa nao wanatuyeyusha kwani ile ni nishani ya Amani au mazingira? Haya nayo ni mazingaombwe ya kimataifa....

Vita vingi duniani ni matokeo ya lack of resources au kupigania resources. Moja ya tatizo la mazingira ni kwamba hizo resources zitazidi kudidimia na kupotea. Kwa maana hiyo, kwa kulinda mazingira, Al-Gore na watu wengine pia wanatengeneza amani kwa watoto na wajukuu zetu.
 
20071012074809990065

Saluted for their work in highlighting the dangers of global warming, former Vice President Al Gore and the U.N.'s Intergovernmental Panel on Climate Change share this year's Nobel Peace Prize.

He played his part, once the second powerful man behind Bill Clinton years.

Read the full story here.
 
Well angalau ni consolation kukosa uraisi! Do you think he would have been a better president than Bush?
I admire him (Gore)
 
I about few minutes 18:40 british time, atatoa hotuba ya kushukuru kutunukiwa hio tuzo ya Nobel.
 
The question of whether or not Gore will run in 2008 presidential elections, is in the cover story of the May 28, 2007 issue of TIME magazine, The Last Temptation of Al Gore.
 
Nafikiri moja ya masharti ya hiyo zawadi ni pamoja na kuto-seek public office au political one,

Halafu realistically, muda uliobaki kwake ni mdogo mno kuweza ku-raise hela za kampeni, na alipoulizwa majuzi amesema kuwa hatagombea,

I take him at his word, maana wengi tuko excited na rais mwanamke wa kwanza US, magazeti ya juzi yanasema kuwa Bush na kundi lake wameshaanza kujitayarisha ku-hand over kwa Mama Clinton, Giuliani ana matatizo mengi sana ambayo bado hayajulikani, na ni guaranteed kuwa yatatoka atakaposhinda tu primaries,

Bill Clinton, sasa hivi polls zinasema ana 70% approval, na wananchi wengi huko tunasikia wanaamini kuwa wakimchagua huyo mama, wanakuwa wanamchagua Clinton mwenyewe, it is very interesting, lakini Gore kuingia at this time itakuwa ni kumharibia Mama Clinton, lakini kwenye politics hakuna guarantees wala permanent friends!
 
Field Marshall eS,
US will never have a woman or colored (black) President!... I can bet my money on that. Kundi hili linaweza kugombea na kuonyesha kila dalili za ushindi but it will never happen. Rev. Jackson alianza na mikwara kama hii na kila dalili za kushika hata makamu wa rais, lakini alikuja zimwa vibaya sana tena basi ndani ya Demokratic..
Na kama Demokratic watampitisha huyu bibie ama Mmatumbi mwenzetu Obama basi Ushindi wa Republican utakuwa kama wa JK..
Nafasi nyingine zooote watachukua watu wengine not President kwani hapo kuna maslahi ya siri kubwa toka SKULL!
 
Nafikiri moja ya masharti ya hiyo zawadi ni pamoja na kuto-seek public office au political one,
Halafu realistically, muda uliobaki kwake ni mdogo mno kuweza ku-raise hela za kampeni, na alipoulizwa majuzi amesema kuwa hatagombea,

I take him at his word, maana wengi tuko excited na rais mwanamke wa kwanza US, magazeti ya juzi yanasema kuwa Bush na kundi lake wameshaanza kujitayarisha ku-hand over kwa Mama Clinton, Giuliani ana matatizo mengi sana ambayo bado hayajulikani, na ni guaranteed kuwa yatatoka atakaposhinda tu primaries,

Bill Clinton, sasa hivi polls zinasema ana 70% approval, na wananchi wengi huko tunasikia wanaamini kuwa wakimchagua huyo mama, wanakuwa wanamchagua Clinton mwenyewe, it is very interesting, lakini Gore kuingia at this time itakuwa ni kumharibia Mama Clinton, lakini kwenye politics hakuna guarantees wala permanent friends!

Mandela, Arafat, na wengineo mbona wali-seek political office...
 
Field Marshall eS,
US will never have a woman or colored (black) President!... I can bet my money on that. Kundi hili linaweza kugombea na kuonyesha kila dalili za ushindi but it will never happen.


Mkuu Bob,

Heshima mbele mkuu, una-raise a very good debate au argument, ninakusikia sana loud and clear, isipokuwa tu kwa mtizamo wangu finyu na reading between the lines ya yanayojiri sasa hivi, ninaona:-

1. Mama Clinton, kwanza time za kisiasa zinaonekana kuwa on her side, kwanza kama mke wa a former famous president, ambaye mapaka leo as a matter of history ya US, bado anakubalika na 70% ya wananchi huko, as opposed na a Republican na the now sitting president, anayekubalika kwa 30% tu! Hiyo ni a big plus kwa huyu mama, katika ku-reasonate na wapiga kura,

2. Mama Clinton, ni mmoja wale wanaojiona kuwa ndio wazungu pure, yaani the Anglo-Sax, no question kuwa atakayeshinda kwa Republican ni Giuliani, ambaye the fact kwamba ni Mtaliano, pekee inamfanya awe underdog, na polls zilizotolewa jana zinaonyesha Bibie akimpiga kwa huyu "mafia" kwa 52% against 48%, kwa hiyo huyu former Mayor anaonekana kushindwa kabla ya uchaguzi haujafika,

3. Mama Clinton, ili kuwa Senator wa NY, alimshinda Mtaliano mwingine kwa jina Lazio, a former Congressman wa NY, ambaye alikuwa ni mkazi hasa wa NY, against huyu bibie aliyehamia tu NY toka Arkansas, juhudi zote za Republican Party kuifanya ishu ya mwanamke kuwa ishu zilipiga ukuta, sasa huoni kuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais itakuwa tu marudio tu ya uchaguzi wa u-Senator?

4. Mama Clinton, ana team ambayo inaheshimika sana katika mambo ya uchaguzi huko ma-US, kina Bill Clinton mwenyewe, Begalla, James Carville, Leornard Panneta, Teddy Kennedy, Blumenthal, Mwana mama Brazil, Vernon Jordan, hawa ni watu wanao ogopewa sana huko kwa kuwa wakali sana katika ku-organize kampeni za uchaguzi wa kisiasa, in fact the recods ni kwamba hawajawahi kushindwa, ambayo ni another plus kwa Bibie!

5. Mama Clinton, ukweli ni kwamba mpaka leo hii uchafu wake wote wa kisiasa na binafsi, tayari umeshatolewa kila mnyamwezi anajua na bado anaongoza kwenye polls, as opposed na Giuliani, ambaye so far uchafu wake wa kina bado kutolewa vizuri, maana nasikia wakuu wanasubiri kwanza mambo yaive, halafu sio rahisi kushinda tiketi ya Republican bila Conservatives on board, ambao so far hawamtaki Giuliani, kwa sababu yeye sio pro-life, na tayari wameshaanza kumtafuta candidate mpya wa kusimama on independent line, amabye atasaidia only one thing, kumpunguzia Giuliani, kura, na kumpa nafasi zaidi huyu Bibie!

6. Mama Clinton, so far pia anongoza kwa mbali sana kwenye polls na wanawake wapiga kura huko US, na anaongoza pia hata kwenye polls among weusi huko, hata kumshinda Obama, na pia anaongoza kwenye polls among Hispanics wapiga kura, ambao sasa hivi wamebakia kidogo sana kwa numbers kuwapita idadi ya wazungu huko US, kwa hiyo likely mgombea mwenza wa mama, atakuwa Bill Richardson, ambaye ni Chicano/Mexican au Hispanic, sasa huoni kuwa huyu Richardson ni the best candidate kuwa mwenza wa mama maana atazoa kura zote za hao wakulu Hispanics! hiyo pia ni a big plus kwa Bibie!

7. Mama Clinton, pia katika polls wapiga kura wote wanakubali kuwa ni yeye peke yake kwenye wagombea wote wa urais kuanzia Republicans mpaka Democratics, ndiye mwenye more experience na urais na uongozi kwa ujumla, na the fact kwamba akichaguliwa urais, basi atakuwa co-president na mumewe Bill, wapiga kura karibu 75%, ndivyo wanavyoamini hivyo, sasa huoni hii kuwa nayo ni plus kwa Bibie!


Na kama Demokratic watampitisha ama Mmatumbi mwenzetu Obama basi Ushindi wa Republican utakuwa kama wa JK..Rev. Jackson alianza na mikwara kama hii na kila dalili za kushika hata makamu wa rais, lakini alikuja zimwa vibaya sana tena basi ndani ya Demokratic..

Huyu mkuu uwezekano wa kushidna haupo kabisaa, sasa hivi Bibie Clinton, anaongoza kwa 33, points na kila siku ya Mungu, points za Obama zinashuka kutokana na kutokuwa na experience, maana mpaka leo jamaa hukwepa kuongela ishus, kwa nafasi yeye hata ugombea mwenza haipo kabisa, maana hao wazungu hawawezi kugombea na mweusi, maaana wanakumbuka kuwa Gore, aliukosa kwa sababu ya kugombea na M-Jewish Liberman, hawawezi kurudia makosa,

Jesse Jackson, hajawahi kuwa na nafasi ya kushinda uchaguzi ingawa alijitahidi sana kwenye primaries, ukweli ukaja down to betweeen Mgiriki Dukakis, na mweusi Jackson, nani afadhali, wazungu wakla pride zao na kumpa Mgiriki, taufta kitabu cha mke wa zamani wa Mohamed Ali, kinachoitwa The Black women undrstanding the Blackmen, utakuta ukweli owte wa hiyo hoax ya Jesse Jackson na urais na ilianzishwa na nani na kwa nia gani?

Huu mkuu ndio kwa kifupi, mtizamo wangu kuhusu uchaguzi ujao wa rais wa US, kuwa huyu Bibie Clinton, ana nafasi ya at least 85%, kuwa rais na niko tayari ku-bet my life!

ahsante mkuu!
 
Mzee ES,
Umetoa maelezo mazuri sana hapo juu kuhusu Hillary. Lakini kuna facts chache unaweza kuwa umezi-miss kidogo, zinaweza kuonekana si za maana lakini ni tatizo kubwa sana kwa upande wake na watu wengi ndani ya Dem Party wana wasiwasi juu ya hayo.
1.Clinton ni polarazing sana ktk politics za US, kuna wengi hasa upande wa kulia ambao hawajamsamehe juu ya "Monica scandal". Hivyo basi ni rahisi kwa Hilly kushinda primaries kwasababu ya popularity ya hubby wake, lakini itakuwa ishu kushinda general election kwasababu "red states" bado wana hasira nao. Issues kama Gay Marriage, Immigration reforms, gun control na nyinginezo zinaongeza kuni ktk moto huo wa ma-dem kuwa na wakati mgumu huko kwa "bible belt."
2. Kuna mvt ndani ya Dem ambayo ina matatizo sana na timu ya Clinton. Watu hawa wanaongozwa na yeye Al Gore, kwani Gore na Clintons ni Chui na Paka. Gore mpaka leo hajamsamehe Clinton na ana amini mojawapo ya sababu ya kushindwa uchaguzi ni yeye kuwa VP wa Clinton!. Gore ni "prince of Tennesse" lakini alikuwa punished kwasababu ya ishu ya MONICA na BIG TOBBACO!.
The good newz kwa Hilly ni kuwa atashinda primaries na fact kwamba GOP hawana mgombea mwenye mvuto mkubwa kwa Southern Christian Conservatives, hiyo ni plus. Lakini vinginevyo anashindwa uchaguzi kirahisi sana kwenye Electral College Votes.
Bush kasema, siku chache zilizopita kwamba Hilly atashindwa!!, na ndani ya GOP kuna wale wanao amini kwa huyu bibie akiwa mgombea basi wameramba dume, if and only if watakuwa na mgombea mwenye mvuto mkubwa huko south. Mgombea huyo inaonekana ni Thompson the movie star kama ilivyokuwa kwa Reggan...kumbuka Thompson katokea Tennesee kwa hiyo ni WASP original.......!!!
Njia pekee itakayompa Hilly ushindi ni kuwa na third party candidate wa ma-conservative christians, kama ilivyokuwa Ross Perot mwaka 1992....otherwise atamwagwa.
Bad news nyingine ni kuwa Ralph Nader naye kajimba mkwara wa kugombea!! translation yake hapo ni kwamba, atachukua kura mingi za Big Cities Liberals toka kwa Clinton.!!! kazi ipo
 
Nyongeza....Gore alimchagua J.Lieberman mwaka 2000 kwasababu jamaa alikuwa so vocal against Clinton wakati wa mchakato wa Impeachment. Calculations zake ilikuwa ni kujiweka mbali na Clinton as much as possible na "legacy" yake ya Ngono na Interns.Kitendo hicho na kumkataa Clinton kwenye campaign rallies kilimkera sana Bubba, na hapo ndio rift yao ilipoongezeka. Ili-work out well lakini bahati mbaya ikawa Home state yake wakawa hawajatoa msamaha, ukiweka na "hangin' chads" za Florida, otherwise tungekuwa na President Gore!!.
Hata hii ya kushinda Nobel ni kama slap kwa Clinton, maana jamaa zake walisha mkampenia sana mwaka jana na juzi lakini ana pigwa chini!!. "Ati alijitahidi sana kuleta amani middle east."....i doubt!!
 
Haya yangu macho! Lakini mtakuja nambia kwa sababu kumbukumbu zangu zinanipa kuwa Rev Jesse Jackson alikuwa akiongoza kama anavyoongoza Mama Clinton hadi mwisho wa kujitangaza pale Wisconsin. Alikuja angushwa na kile wanachokiita - Bradley Effect. As a fact huu ni ubaguzi wa ndani uliojificha kwa wazungu ktk zuga zao ili kutoonyesha kwamba watu weusi, wanawake, ******* na waumini wa dini nyingine nje ya Ukristo hawawezi kuiongoza Marekani. Na hii inatokana na imani kwamba Marekani imezaliwa kwa misingi ya Kikristu kwa hiyo pamoja na mabadiliko yote ya haki za binadamu bado misingio ya Ukristu wao itaendelezwa kudumishwa..hawa watu hawawezi kushika madaraka....
Nadhani utashangaa napotumia dini kusherehesha point yangu lakini kumbuka kuwa hawa jamaa (wazungu) imani yao ktk dini ni tofauti kabisa na ndio maana walitumia misalaba ya moto kuonyesha kuwa sisi weusi ni watu wa Moto, yaani mashetani na hadi leo mtindo wa kutumia noose kama alama ya kutoa tahadhali bado inaendelea.
Kwa wanawake kidogo kuna unafuu lakini pia haiwezekani mwanamke kuongoza nchi hiyo.. na tukumbushane uncle ktk swala hili..
Kama nilivyosema vyeo vingine vyote shindeni lakini sio Urais na nakuhakikishia kwamba Demokratric wanaelewa position ngumu watakayo kuwa nayo. Republican siku zote huwa wao ni underdogs inapokuwa ktk mchujo wa kwanza.. hakuna aliyefikiria Reagan, Bush mzee ama Bush mtoto wanaweza kushinda isipokuwa hawa jamaa wameweza kuchukua advantage pale Domocratic walipofanya makosa.
Ushindi wa Mama Clinton NY umeshangiwa sana na watu wa kuja unajua tena miji mikubwa... half the population ya NY ni watu wakuja ambao hawana picha nzima ya siasa za US na hasa wadhamini wa maslahi ya Skull. Mafia tunayoiona Bongo ni cha mtoto kabisa ukilinganisha na US pamoja na kwamba yapo makundi makubwa ya Wataliani na Wa- Irish ambao hushinda vijiweni kama sisi hapa JF.
trust me, nina imani Al Gore atarudi na safari hii atakuja na kishindo kikubwa zaidi kwani hivi sasa anasubiriwa tu yeye kuingia. Labda Mama Clinton anaweza kuondoka na VP lakini nayo naiwekea mashaka!..
 
Field Marshall eS,
US will never have a woman or colored (black) President!... I can bet my money on that. Kundi hili linaweza kugombea na kuonyesha kila dalili za ushindi but it will never happen. Rev. Jackson alianza na mikwara kama hii na kila dalili za kushika hata makamu wa rais, lakini alikuja zimwa vibaya sana tena basi ndani ya Demokratic..
Na kama Demokratic watampitisha huyu bibie ama Mmatumbi mwenzetu Obama basi Ushindi wa Republican utakuwa kama wa JK..
Nafasi nyingine zooote watachukua watu wengine not President kwani hapo kuna maslahi ya siri kubwa toka SKULL!

Mkandara November 2008 haiko mbali. Rais mama Clinton na makamu wake Obama, hapo Ikulu itakuwa colured.
 
Mkandara November 2008 haiko mbali. Rais mama Clinton na makamu wake Obama, hapo Ikulu itakuwa colured.

Hicho ndio ninachofikiria, lakini kuna hawa conservative wa kusini sijui kama watalikubali hilo lakini tuone itakavyokuwa, ticket nyingine ni Richardson na mama clinton.
 
Mkandara and FMES you guys have good points. Ila what I can all say is, in politics there is no permanent friends or permanent enemy. Republicans kwa sasa nafasi yao ni ndogo saaana kwa sababu ya ujinga wa Bush. Mama Clinton uwezo wa kushinda kwa sasa ni mkubwa kwa sababu Al Gore hana mpango wa kugombea. Ila in anycase akiingia tuu, mama kaliwa, harafu jamani mkumbuke wanawake tunawachukulia kwa ujumla wao, lakini Trust me, mama Clinton is another political mogul katika kukata issues! na kama umefuatilia, huyu mama..hajawahi kutoa jibu la "direct" bila kuacha mwanya wa kumanuva. She is a very skilled political savy. Kwa jinsi alivyokuwa anachukiwa na Republicans Iam sure asingekuwa anafanya vizuri kwenye polls. Certainly huwezi pendwa na wote, she has enemies kama alivyo na marafiki, so is Al Gore, So is Clinton himself.

Anayesema kwamba Nobel ni kama slap kwa Clinton, I dont agree, Gore has done alot in climate change through his own efforts, so is Clinton through his foundation and make no mistake, in anyway, Clinton is far far more politically skilled than any current Democrat even Reublicans, so hate him, like him thats the bitter truth! Ask yourself a man who was impeached in such a disgraceful manner, leo 88% ya Democrats wanamkubali! Indeed the world still respects him than any current or former US president. Yes, kulikuwa na movement ndani ya Dem kujaribu kupunguza nguvu ya Clintonites machine, but where did it end, Al gore mwenyewe knows the bitter truth.

Giulian can never bit huyu mama, trust me! Republicans kwa sasa hawana candidate wakuwaogopesha madems ndo maana wako content na huyu mama. She has a vast and skilled machine who are doing everything for her. Na akishawin primaries, Bill will start official campaign. Kama unakumbuka Thatcher mpaka kuwa PM wa UK, kulikuwa na conspiracy theories nyingi saaana but she defied all odds.

Let Al gore rest and leave those with passion in politics do their things. For sure, Clinton is an amazing politician I have ever encountered, he knows what he wants and importantly, he knows where and how to get it! So is Hillary.
 
Back
Top Bottom