Al badil haijatoa majibu hadi sasa, wanaohusishwa kupigwa risasi Lissu ni siasa?

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,769
Kulingana na imani ya dini ya kiislam Al Badil husomwa na madhara huwapata wahusika wa tukio fulani. Mh. Paul Makonda amekuwa akituhumiwa kwenye mitandao ya kijamii bila ushahidi kama muhusika.

Hadi sasa hatuoni matokeo ya Al Badil, je ilikuwa siasa?
 
Al badil ilizuiwa kufanyika kwani kuna iliyofanyika umesema wanazusha ni flani

Maana yake hausiki kama ni uzushi
 
Kama hujui kwa taarifa yako kinachomtesa Mrema hadi sasa ni ile Hallal Badr aliyosomewa na waislamu wa Mwembechai.
Kama ilisomwa kweli subiri majibu yake mubashara
 
albadir imeanza kufanya kazi yake hujaskia kauli ya serikali kutaka kumtibu lissu? Na ile ya jaji? Ngoja utaskia mengi yakitokea ikiwa ni matokea ya dua mbaya au malaana yakiwapata
 
Kuna diwani wa chadema alifariki baada ya kusomwa albadir...
 
Kulingana na imani ya dini ya kiislam Al Badil husomwa na madhara huwapata wahusika wa tukio fulani. Mh. Paul Makonda amekuwa akituhumiwa kwenye mitandao ya kijamii bila ushahidi kama muhusika.

Hadi sasa hatuoni matokeo ya Al Badil, je ilikuwa siasa?
sio imani ya kiislam....badili kwanza hilo
 
Kulingana na imani ya dini ya kiislam Al Badil husomwa na madhara huwapata wahusika wa tukio fulani. Mh. Paul Makonda amekuwa akituhumiwa kwenye mitandao ya kijamii bila ushahidi kama muhusika.

Hadi sasa hatuoni matokeo ya Al Badil, je ilikuwa siasa?
Kwani kwa uzoefu wako huwa ianchukua muda gani madhara kuonekana?
 
Ilikua ni upuuzi watu na heshima zao kukaa na kupost fb eti wanaingoja al badir ifanye kazi, kazi ambayo ilitakiwa ifanywe na askari.

Ingekua uchawi ni dawa, Zito Kabwe anayetamba kila siku kua akitaka kukamatwa watu wataona ziwa yasingekua yanamkuta.

Sisi kama Taifa nguvu zetu tumeelekeza mno katika uwezo usioonekana na hatuna uhakika nao.

Hata hivyo, Sijamaanisha askari wako sawa. Namba na aina ya gari iliyotajwa wangeanza kwa kufuatilia umiliki, mmiliki aseme siku ya tukio gari lilikua na nani clues zingepatikana.

Lakini nikashangaa akina Malisa wakakazana kuhimiza al Badir na siyo utendaji wenye weledi.

Kama Taifa kuna sehemu tumeyumba.
 
Back
Top Bottom