Akutwa akijaribu kumlawiti mwanafunzi wa kiume katika choo cha msikiti wa mwembechai

Aiseeeh Mungu alitaka kumuumbua... inamaana hakuona sehem yeyote ile bali sehem ya ibada? Simanishi wala sisapoti kufanya kitendo hiko sehem yeyote ata kama s apo ila namanisha kua Mungu aliona kazid kaamua kumuweka sehem inayoonekana zaid ili mabaya yake yajulikane
Kwa akili za hivi tutachelewa sana kupana hata hivyo viwanda.Yani wew unaamini mungu ndo amesababisha huyo jamaa kukamatwa?

..........Free Ideas.........
 
Nimepigwa ganzi. Dah! Msikitini, tena mchana! Jamaa inaonesha hicho choo ndo guest yake yaani. Halaf huenda huyu mtoto ndo shamba lake la kumwagia mbegu kila mara ndo maana jamaa anawashangaa waliomkamata. Wallah tumekwisha.
 
Halafu huyu jamaa sio muumini WA msikiti huo. Inaonekana alikua Na uviziaji WA mda waini wanapokua hakuna yyndio anaingia hapo navhuyo Kijana Mungu ameaumbua sasa
 
Kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja alikutwa na waumin wa msikiti wa MKURANGA- Mwembechai, Manzese DSM akimlawiti mtoto wa kiume miaka 12 katika vyoo vya msikiti.

Angalia zaidi video hapo chini
Ni ipi tofauti ya Kujaribu na Utekelezaji!???,mana cjamuelewa mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom