Aksante kwa kujaribu kuzungumza nami ila..........................

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Baba mmoja kiziwi(asiyesikia) alipanda daladala aina ya chai maharage kutoka kijijini mwake kuelekea mjini. Huyu baba ni mtu asiyefahamu mambo mengi ya kisasa. Kutazamana naye huyu baba ndani ya hiyo chai maharage alikuwa abiria mmoja kijana aliyekuwa akitafuna big g.

Huyo baba akawa anamtazama sana huyo kijana wa big g. Alipofika mwisho wa safari yake, baba akanyanyuka tayari kushuka huku akimwaga yule kijana kwa kusema: 'Nashukuru sana kijana wangu kwa kujaribu kunisemesha muda wote wa safari lakini mimi ni kiziwi!
 
Ndo wale wale,mtu unapishana naye,ukifungua mdomo tu,keshajibu...marhabaaa,hujambo kijana!
 
Kama ni mimi na nimegundua hilo kuwa hajui natafuna big g naendelea kutafuna kwa nguvu ili ajue nmechukia
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah hiyo nayo kiboko hiyo:lol::lol::lol:
 
nitashuka na kumnunulia big g alafu akianza kutafuna ni tamuuliza mbona na wewe unaniongelesha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom