Hamna lolote... Huyu nyumbani kashikwa maskioNyumbani tatizo ni house girl, jamaa hamuamini kabisa kumwachia mtoto!
WA RugemalilaAfu wana mtoto mzuri
Safi sana hiyo nimeipenda anajali
Afu wana mtoto mzuri
Mwanaume kabisaaa anambeba mtoto mgongoni????
WA Rugemalila
mtoto na roho ya baba ni tofauti kabisa