Akiwa amepata daraja la nne la alama 32 anaweza kusoma chuo?

Hiki kitu atuwezi kukiapply tz coz ni kigumu kwaio diploma aina kazi tena na sio qualifications ya kwenda bachelor na wale wanaopitia bodi za kitaaluma nao pia awaendi masters coz awana bachelor au

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ndo elimu ya Tz kila waziri anakuja na tamko lake, usishangae waziri ajae wa elimu akarudisha kila kitu na mambo kuwa kama yalivyozoeleka.
 
Nikosa sana kuongelea usolijua ndugu yangu! Mtu akiwa na angalau D moja anaweza kujiendeleza bila kurusiti hadi PhD. Anaanza na NVA 1-3 halafu anaingia NTA 5 na kuenda hadi NTA 10. Mifano ya uhakika ipo
Hujui kitu, acha kuwapoteza watu! Weka authority inayosma hivyo!
 
Habari wadau

Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana amepata four ya 32
Kiswahili c na civics d

Je ataweza kusoma course gani kwa hizi college....au ni ngumu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado anao moyo wa kuendelea kusoma, naomba niletee shuleni. Atajiunga na wenzake kusoma advance kwa kutumia special need programs. Kwa maelezo zaidi, naomba nichek pm nitakuelekeza vema.

Kila la kheri Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom