Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 3,938
- 3,211
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya mambo yanayotokea ndani ya Tanzania kwa sasa!!
Mambo ya utekaji haya, ni nani yuko nyuma ya hii mambo?
Ni kweli serikali haifahamu kabisa juu ya utekaji wa MO Dewji na watu wengine?
Kina Kamanda Mambosasa hawaufahamu kabisa huo mchezo?
Sometimes hata Rais anazungumza mambo yenye utata sana. Nilishangaa sana kusikia akizungumza swala la Mo kama vile haujui mchezo.
Natamani atokee mtu mmoja alipue mambo, ili hii kitu ikae sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app