Akitokea Whistle-Blower mmoja kutoka TISS kuna watu Wataumbuka sana

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
3,322
2,000
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya mambo yanayotokea ndani ya Tanzania kwa sasa!!

Mambo ya utekaji haya, ni nani yuko nyuma ya hii mambo?
Ni kweli serikali haifahamu kabisa juu ya utekaji wa MO Dewji na watu wengine?

Kina Kamanda Mambosasa hawaufahamu kabisa huo mchezo?

Sometimes hata Rais anazungumza mambo yenye utata sana. Nilishangaa sana kusikia akizungumza swala la Mo kama vile haujui mchezo.

Natamani atokee mtu mmoja alipue mambo, ili hii kitu ikae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,829

Binafsi huwa natamani na kuwaza kijinga kwamba kama Mungu angenipa uwezo wa kuona yale yanayofanyika na kupagwa gizani/sirini ningekuwa nimeshamlipia kisasi Lissu
 
Escaper

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,791
2,000
Utasubiri sana chief labla uombe Mungu siku moja uje uwe Boss wa TISS upitie fail moja hadi lingine, ndiyo ujue ukweli
Hivi mkuu naomba kujua kitu, inamana kila/baadhi ya mission auprogram inayofanyika ktk idara ya usalama wa taifa lolote huwa zinakuwa documented? ..yani hata detentions, assasinations ama shambulio kwenda nchi nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya mambo yanayotokea ndani ya Tanzania kwa sasa!!

Mambo ya utekaji haya, ni nani yuko nyuma ya hii mambo?
Ni kweli serikali haifahamu kabisa juu ya utekaji wa MO Dewji na watu wengine?

Kina Kamanda Mambosasa hawaufahamu kabisa huo mchezo?

Sometimes hata Rais anazungumza mambo yenye utata sana. Nilishangaa sana kusikia akizungumza swala la Mo kama vile haujui mchezo.

Natamani atokee mtu mmoja alipue mambo, ili hii kitu ikae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani ubani uliochomwa na wahindi unatenda Kazi,Rangi zingine sio za kuziteka watuweke kwenye viroba sie weusi hao wengine sio wa kugusa.Juzi Mungu kamuumbua mwizi wa sadaka kanisani ilipodondoka kwa bahati mbaya.Hivo wakati wa Mungu ukaribu
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Binafsi huwa natamani na kuwaza kijinga kwamba kama Mungu angenipa uwezo wa kuona yale yanayofanyika na kupagwa gizani/sirini ningekuwa nimeshamlipia kisasi Lissu

Hata wahusika kuwa na stress na kuhisi hatia japo wamevaa nguo Lkn wako uchi mbele ya jamii ni kisasi tosha.Ukizikiuka kanuni za dunia lzm zikuadhibu hazichagui cheo wala hadhi ya mtu
 
mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
871
1,000
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya mambo yanayotokea ndani ya Tanzania kwa sasa!!

Mambo ya utekaji haya, ni nani yuko nyuma ya hii mambo?
Ni kweli serikali haifahamu kabisa juu ya utekaji wa MO Dewji na watu wengine?

Kina Kamanda Mambosasa hawaufahamu kabisa huo mchezo?

Sometimes hata Rais anazungumza mambo yenye utata sana. Nilishangaa sana kusikia akizungumza swala la Mo kama vile haujui mchezo.

Natamani atokee mtu mmoja alipue mambo, ili hii kitu ikae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Jiwe anajifanya hajui moo alikuwa wapi hahahahaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom