Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,757
- 2,353
mwenyezi mu hadhihakiwi....muda utathibitisha.....
Sio kwamba kajifananisha mkuu ila kwa faida yako isikilize hiyo clip ili ujue uchangie nini. Clip imesambaa sana hata humu JF imewekwa kitambo tu.kuna link yeyote labda tusome au tuone clip Makonda akijifananisha na Mungu?
Mpe huyoKwa hiyo akifanya Makonda mungu kafanya! Acha kufuru wewe mtoto wa mkesha wa mwenge.
Juzi wenyeviti wa Tegeta,Kunduchi,mbezi,Mikochen,goba na kawe waliungana wakampiga kamati za Ufundi kali asipite huko akawaweka ndani kutokana na kuwa na kesi nyingi za uuzaji viwanja vya wazi na maeneo ya umma na watu binafsi, hivyo huenda makonda alipagawa kutokana moto wa hao wenyeviti wa serikali za mitaa wa huko.Jamaa ana akili mbovu sana hata kuweza kujifananisha na Mungu. Cheo kimemtia wazimu huyu hata kujiona anaposimama yeye ni kama kasimama Mungu. Ana akili ya kushikiwa ya kuropoka kama cherehani matokeo yake kuongea maneno yanayotushangaza sana Watanzania wengi.
Mungu mtu kwa sasa ni makondaHata mitume na manabii hawakuwahi kutamka maneno hata. Heko watu wa Dar es salaam kwa kuwa na Mungu karibu yenu kupitia Makonda.
Mashehe, mapadre na wachungaji katafuteni kazi nyingine Dar sasa wakitaka toba au msaada wa Mungu watapitishia kwa Makonda kwani ndio njia rahisi maana alipo simama yeye hapo hapo ndipo alipo. Hili jambo litangazwe duniani na hakika ulimwengu utafurika hapa kuja kwa Makonda na nchi itanufaika kwa chanzo hicho kipya cha mapato