Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

Kama Makonda anajifananisha na Mungu basi ni bora kuanzia leo niwe Mfuasi wa ' kutukuka ' wa Shetani Mkuu Lucifa.
Mkuu mbona unampinga mdau wenu lizaboni wa jf ambaye mabandiko yake ya kuitukuza kijani na njano huwa unayaunga mkono mara zote? Unamkana makondakonda konokono kichwa cha panzi leo? Basi maajabu hayaishi dunia hii.
 
Mimi ni CCM ' makini ' na siyo CCM ' hovyo hovyo '. Take note of that please!
 
Kauli ile ilinistusha sana!Nilistuka sio tu kwa sababu katamka vile,bali pia kwa sababu naelewa watu wanaotamka maneno ya kufuru kama yale huwa wanaishia wapi.Nimestuka kwa sababu najua kauli ile itamletea shida kubwa,yeye na huenda na system anayoitumikia yote ikatikiswa,maana imeandikwa dhambi zote mtu husamehewa,isipokuwa dhambi ya kufuru.
Huenda alimaanisha yeye ni mtumishi wa Mungu,hivyo alipo yeye ni Mungu yupo,je,kwa tabia na mienendo yake yeye kama mwanadamu,hivi akipelekwa mbele za Bwana wa Majeshi akahojiwa juu ya qualifications zake kama mtumishi,atasimama au atajificha sura?
Huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa enzi.Kwa jinsi nisomavyo mambo ya dini,Mungu unaweza hata kumtukana na hukumu yako ikacheleweshwa ila sio kuchukua nafasi yake,hilo hakubali.Na wote waliotamani kuwa kama Mungu waliishia pabaya.Na chanzo cha hii roho ni very ancient,yule aliyetamani kupaa juu kupita vimo vya mawingu na kuketi juu ya Mlima wa Bwana,akitaka yeye kuwa sawa na Mungu,na kilichomkuta tunakijua.
 
Haya maswali "Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?" yaliulizwa enzi za farao maelfu ya miaka ilyopita lakini baadae maajabu yanatokea Tz kwa kuibuka 'farao' mpya!
 
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE
 
Kiburi cha madaraka...jeuri...
Kujiona
Unaita mama zako vichaa ...kha makonda kama jina lako
 
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE
Uchambuzi wa kishirikina na kujipendekeza!
 
"..., msinijaribu.., Ardhi Kinondoni nitawashughulikia.., hadi mtajuta kuzaliwa..., mimi nikisimama hapa, amesimama Mungu..., sikuletwa hapa kwa bahati mbaya, nitawatia ndani wote, na hakuna mtetezi wenu, wewe mama ....kichaa......unanisikia, hauna wa kukutetea.., "
- Paul Makonda (RC), Dar es salaam.
 
Kwanza,maana ya analytical si uchambuzi. Pili,tafsiri uliyoitoa ni yako binafsi na hupaswi kutuhusisha nayo. Tatu,kwa vyovyote vile kauli ya Makonda si kauli ya kiungwana na ni ya kutweza. Ana heri kwakuwa aliyemtweza hajui namna ya kupambana naye kimahakama.
 
Wana JF. Nimejaribu kuifanyia analysis/ kuichambua kwa MAKINI kauli ya RC Makonda akimjibu yule afisa wa Ardhi na kupata yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa alikuwa tayari na FACTS/Ukweli kuhusu maafisa wa ardhi kusuasua katika utendaji wao wa kazi na kuumiza wananchi!

2.ALIINUA sauti yake KIDOGO akitaka apate MAELEZO SAHIHI kutoka kwa yule mama afisa wa Ardhi.

Lakini naye akajibu kwa KUZUNGUKA ZUNGUKA jambo lililomuudhi Mkuu wa Mkoa.
Maana kama afisa wa Ardhi ni LAZIMA AJUE matatizo SUGU ya ardhi hasa YALIYOKAA miaka mingi bila KUSHUGHULIKIWA!
Hivyo alihitaji jibu lililojaa maadili na UKWELI!

3.TATIZO la mama MJANE kuzungushwa zungushwa na mafisa wa Ardhi kwa MIAKA mingi akitaka HAKI yake ndo kulimfanya makonda atumie neno

"Nikisimama nasimamia MUNGU"
ukii analyze hiyo sentensi ina maana "Nikisimama NASIMAMIA KWELI ya Mungu"
Tukumbuke jamani kuwa Mungu ni Mungu wa WAJANE
We jamaa nadhani utakuwa mmoja kati ya wale wanne wasiomuangusha pale ofisini kwake.
 
Kwanza,maana ya analytical si uchambuzi. Pili,tafsiri uliyoitoa ni yako binafsi na hupaswi kutuhusisha nayo. Tatu,kwa vyovyote vile kauli ya Makonda si kauli ya kiungwana na ni ya kutweza. Ana heri kwakuwa aliyemtweza hajui namna ya kupambana naye kimahakama.

Mchungaji Mtikila angeinunua hii kesi. Alikuwa hapendi ujinga kabisa
 
Ule ulikuwa ni udhalilishaji live Makondo hawezi kumuita afisa ardhi kichaa wakati ni mwajiriwa wa serekali ambayo ilimpa ajira baada ya kujiridhisha kuwa ni mtu mwenyewe akili timamu,huku ukizingatia kuwa swali ambalo alitakiwa kulijibu ni swali ambalo lilikuwa linatakiwa kuwa na maandalizi,kwa kuwa yule afisa ardhi alikuwa ni mgeni katika ofisi hiyo na tukio lilitendeka katika kitengo kingine ambacho afisa ardhi hausiki nacho moja kwa moja.
 
Mungu mwema. Yamkini huyu bwana mkubwa katumia andiko katika Zaburi 82:6, nanukuu, "Mimi nimesema, ndinyi miungu , na wana wa aliye juu nyote pia"! Hapa Mungu baba alikuwa anatupa mamlaka ya sisi kuwa miungu.
Bwana Yesu alilifafanua vizuri hilo andiko la Torati.miungu ni wale binadamu ambao wana Roho ya Mungu,wamejiliwa na neno la Mungu na wanachotamka kinatoka kwa Mungu(Yohana 10;34,35),wanaoishi maisha ya kiungu kwa kufuata na kutii mamlaka ya Mungu,wakisimama mbele za Bwana hakuna wa kuwanyooshea kidole maana ni watumishi safi.Je,huyu kijana anazo sifa hizo?Anayoyatamka na kuyatenda kila siku katika maisha yake ni maagizo ya Bwana Mungu wa majeshi aliye hai?
 
Back
Top Bottom