Akishakua na tattoo tu simtaki tena

Haha jamaa yangu alikutana na kisanga cha Kimwana wake anamwambia, baby nataka nichore tattoo, eti anamuuliza achore sehemu gani ya mwili.

Nikamwambia umelikwara hilo ni jinamizi mtu
 
Kuttom.ba kwenyewe unajua? Maana watu wenye vigezo vingi design yako ni kama kina Jemsi Delicious
 
Kwa upande wangu mwanamke mwenye tatoo ni mwanamke aliekosa maadili, na fikra hzohuenda mbali hata kwa mwanaume aliekosa tatoo namuweka kwenye Kundi la wasiojielewa....
 
Back
Top Bottom