Akiri mahakamani kumwua mumewe kwa sumu ili aolewe na boyfriend mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akiri mahakamani kumwua mumewe kwa sumu ili aolewe na boyfriend mpya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Dude, Feb 28, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wadau,hii ni habari ya kweli kutoka court of appeal (mahakama ya rufaa) session ilokaa mwezi huu wa february pale Mwanza..

  Kesi ilianzia mahakama kuu na hatimaye rufaa kufika huko..kisa chenyewe ni kama ifuatavyo.

  Wameoana kwa ndoa halali na wana watoto wanne..kipindi fulani mwili wa mwanaume ulipotea ghafla na hakujulikana alipo.ikachkua muda ukaja kukutwa ndani ya choo cha shimo ukiwa umeharibika vibaya..lakini ilihisiwa kuwa ni mke ndio kaua sababu tayari walikua na ugomvi mume akimtuhumu kuwa na bwana wa nje.

  So,kutokana na ushahidi mwingine pia wa kimazingira-circumstantial evidence kesi ikafunguliwa..mahakama kuu ikamwona hana hatia,na serikali ikaappeal court of appeal ambapo wakati wa mwenendo wa kesi ndio mke akakiri kuua na kumwaga yote hadharani.

  Alikiri kumwua mumewe kwa sumu kisha kumtupa chooni ili waoane na boyfriend mpya..
  Katika hukumu mahakama(judge steve bwana)ikajiuliza maswali yafuatayo..kama mwanaume unaconspire kuua una uhakika gani kuwa the same womana akipata boyfriend mpya hatakuua na wewe?
  Pili, mwanamke una uhakika hao watoto wako wanne watalelewa vema na the new boyfriend?
  Kwa kua mke aliconfess nadhani mshajua kilichofuatia..

  NB:The tables are turning,women are the new beasts.And the modern man is becoming a victim of the new-breed‘ woman(haya ya mwisho ni maoni yangu tu)
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Ukiona dalili mtu hakutaki/kakuchoka mpe njia aendelee na mishemishe zake,wala hatakuwa na shida ya kukuua.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh dunia haina wema
   
Loading...