Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,460
- 78,664
mi hapo nimemuona Mamndenyi tu
aliekwidwa sijamtambua,babu kaleta balaa!!
View attachment 98225 manoah na sosoliso wakipimana msuli baada ya kurushiana maneno ya hapa na pale.
hi nayo ni kali
kwa hiyo ulivyompima Slave ndo maneno aliyokuambia hayo.
me kila siku ananiambia mnapigana kwaajili yake
Lady doctor mimi Mamndenyi sipiganii mwanaume hata kwa dawa
kama vipi acha niishi alone kuliko kufikia hiyo atakuwa ni mwingine mwenye jina kama langu.
Hivi hichi kibabu nacho chagombewa?pesa hizi itaua watujamani hebu waamulieni hawa..nasikia wanamgombea. Bishanga..
Hivi hichi kibabu nacho chagombewa?pesa hizi itaua watu
hahahahaha..wazee wa siku hizi...hatariiHivi hichi kibabu nacho chagombewa?pesa hizi itaua watu
na ngo'mbe hazeeki mainiUzee dawa!