Akina mama wa "Mjini" hawataki kuzeeka kabisa. Wanataka waonekane mabinti

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,560
2,000
Unajua mjini kuna wanawake Ila wameji categorize kuna madada, mabinti na akina mama.

Ila sasa hawa akina mama wanaojiita kina mama wa mjini wananishangaza zamani kulikuwa na utofauti Kari ya akina mama na dada zetu
Ila siku hizi akina mama nao wanataka kujilinganisha na hawa dada zetu.

Yaani nowdays unakutana na mmama wa makamu unamsalimia shikamoo anakwambia "we usinizeeshe mapema"Mi bado nalipa.

Tena ukiwaona walivyojiremba mawigi kichwani na make ups utasema hawa ni mabinti. Hizo kazi ni za akina dada na mabinti wa mjini ukishazeeka achana nazo.
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,776
2,000
Na watoto wao hatuelewi tunaruka nao sana tu.......ila mchana hawataki wao usiku tu na hakuna kuwasha taa......
 

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,022
2,000
Hao wa mama wengi ni vichwa maji ndio mana mjuba ukiwa Fisi sana unaweza tembeza Rungu bi mkubwa na Mabinti zake na wakajua kuwa wote wamechezea rungu moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom