Akina mama oyeeeeeeee!

Nov 13, 2010
91
7
Tumeanza katika uspika, tutawapata wapi akina mama wa kushika nyadhifa zifuatazo....

1. Jaji mkuu
2. IGP
3. Mkuu wa majeshi
4. Mwenyekiti NEC
5. Gavana wa BoT
6. Mkurugenzi - Usalama wa taifa
7. Mkurugenzi wa TAKUKURU
8. Katibu mkuu kiongozi
na wengine wengi.........

"Suala la kuwa spika lilikuwa katika ratiba ya maisha yangu" na siyo "Mimi ndiye mtu sahihi wa kuwa spika wenu"

Akina mama oyeeeeeeeeeee!
 
Tatizo lenu kama hamkuwezeshwa hamuwezi!

Kweli wakiwezeshwa wanaweza? Hii ni dalili wazi kwamba watz hatuelewi hizi nadharia na sera za gender. Hivi huyu spika ana tofauti gani na mbunge wa viti maalum?
 
Kweli wakiwezeshwa wanaweza? Hii ni dalili wazi kwamba watz hatuelewi hizi nadharia na sera za gender. Hivi huyu spika ana tofauti gani na mbunge wa viti maalum?

Huyu mama si mbunge wa kiti maalum, anatoka jimboni huyu. Nahisi huo mwaka 1975 alipoanza ubunge alikuwa wa kiti maalum maana alikuwa bado kabinti. Hatutilii shaka ubunge wake, bali tunatilia shaka mazingira yaliyotumika kumpa uspika. Kama CCM walitamani sana mihimili ya dola kuongozwa na mwanamke si wangeanzia kwenye urais?
 
Then tell me Njiwa, ni nyadhifa zipi unaona kuwa wanawake hawaziwezi?

dah! hii kesi... lniliwahi kusign for philosophy class in my uni nakumbuka lecturer alileta division katika darasa baada ya ku quote Aristotle`s view of women "women were more or less an incomplete man. he also thought that childrean only inherit the fathers characteristics since woman was passive and receptive while the man was active and creative. also lecture akamalizia kwa scripts from Aquinas which says that women was made out of adam`s ribs.
no offense kuna baadhi ya nyadhifa haziwafai.. labda mpo too sensitive, labda mtakuwa too emotional .. it is a law of nature
 
Tusiwa undermine mama zetu. Kama mwanamke anaweza kuwa rais wa nchi nafasi yoyote chini yake sio ishu. Hapa ishu ni akina mama gani Tz na wanapatikanaje?
 
Tusiwa undermine mama zetu. Kama mwanamke anaweza kuwa rais wa nchi nafasi yoyote chini yake sio ishu. Hapa ishu ni akina mama gani Tz na wanapatikanaje?

umeni quote vibaya .. mbona brasil mkuu wa nchi ni mwana mama... ok nakupa mfano kazi kama mkuu wa majeshi sio mahala pake kwa jinsia ya kike
 
Haya Mambo ya Akina Mama na Uongozi wa Nchi yetu yaanagalieni kwa Umakini! Kuna mambo mengi nyuma yake. Huwezi jua raha za watu hizo?
 
Kufumba na kufumbua mwingine huyo!!! Zakimjeghyi ah hata jina lake silijui. Huyu sijui atapewa fedha tena?
 
Back
Top Bottom