Tongue blister
JF-Expert Member
- Jun 19, 2009
- 362
- 11
I guess ingefaa wanyanganywe tenda itangazwe tena, Watoto wa Viongozi wengine kazi zao kusubiri Kodi za mabus na parking za magari mjini kisha kuleta jeuri ..!
....and to add insult to injury they were not paying any income tax.Hapa kama nchi ingekuwa inafuata utawala wa sheria halafu mkataba uko tight jamaa wangepigiwa mahesabu ya siku zote walizochikichia hela, kutakiwa kuzilipa hizo hela halafu kupigwa mvua kubwa tu kwa sababu ya fraud.
Lakini kwa bongo sitashangaa nikiambiwa kwamba hakuna kesi kwa sababu hawakufanya chochote kilicho nje ya mkataba. Na actually wanaweza hata kui-sue serikali kwa breach of contract, ila wanaona noma issue inaweza ku create bad publicity na washajishibia anyway.
$ 1500 kwa siku kwa stendi kubwa kama ile, miaka yote hiyo? Daaamn, they must be swimming in millions of dollars now. Kama walikuwa wanatengeneza $ 1500 zaidi tu (it si very possible waliwezxa kutengeneza zaidi ya hii) kwa miaka minne watakuwa wamekusanya around $ 2,190,000 saaafi zao.
....and to add insult to injury they were not paying any income tax.
Kwa msingi gani? Hawawezi kushitakiwa kwa hili at least?
Don't these people have any shame? Ndio ukomunisti wa Kingunge huu?
Sikumbuki ni mwaka gani Tanzania ilikuwa ni nchi ya Kijamaa na Kijitegemea.Tanzania sio nchi ya Ujamaa na kujitegemea tena, Hii ni nchi ya wachache wenye kujitegemea..! Kila aina ya deal chafu hufanywa na watu walio wachache kwa kujigawia wao wenyewe..!