Akina gbagbo wake wengi africa ndiyo maana anagoma kuachia ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina gbagbo wake wengi africa ndiyo maana anagoma kuachia ngazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kuthumiwa haule, Dec 31, 2010.

 1. k

  kuthumiwa haule Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni ukweli usipipngika kwani viongozi wengi wa Africa ni wachakachuaji wakubwa wa matokeo ya kura,na ndiyo maana hata laisi wenu kiweteee hawezi kumlaani Gbagbo, kwa sababu naye ni walewale. hana jipya aibu imemtanda uso mzima kwani sote tunajua hatukumchagua bali tulimchakachua.
   
 2. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 667
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Naomba ni-edit kichwa cha thread yako. Nadhani ulitaka kusema "
  Akina gbagbo wako wengi africa ndiyo maana anagoma kuachia ngazi
   
Loading...