kijana makini
Member
- Nov 5, 2010
- 48
- 7
:blah: mwanaume pesa lips ushoga..
thubutuuu! Lips nzuri afu acount ina shiling ishirini ntakula lips??we vipi? Mwanaume hardworker,mtanashati and ofcoz mwenye cash ndo mpango mzima habari za wapaka lip shine na powder pelekeni huko huko kwa wanafunzi wenzenu!
hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk
Wanamme wenye akili ya mwanamme ni sexy zaidi kuliko wenye lips kama za Angelina Jolie.
Lips zikiwa kissable tu inatosha. . mambo ya kuwa sexy and what not hayahusu kwa mwanaume.
Alafu hao wadada hua wanakuambia m'make up' kitu gani?
Nimekuwa nikisifiwa na akina dada eti nina lips nzuri, na wengine huwa wanataka just to make up with me, huwa ninashangaa hivi ni kweli au wanakuwa wamenizimia? Kwa upande wetu sisi wanaume ni kweli lips za akina dada huwa zinatupagawisha sometimes. Je akina dada's ni kweli huwa mnazimikia lips zetu pia?
Angalizo...... Kwa wanaume sio lazima kuchangia maana hamuna idea yoyote na lips zetu kwa hio muipotezee hii post, najua mtaishia kunirushia makombora ila ndo hivo tena mwenzenu napendwa.
Ha ha ha Bazazi, huu utani ntakumwagia tindikali.
Hacha pumba... Mwanaume hasifiwi lips.. Mwishowe utasifiwa hips