Akina dada naombeni jibu!!!!

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Kwa kawaida bidhaa inapokuwa dukani ili inunuliwe inabidi uiweke mahali inapoonekana ili iuzwe,sasa nawauliza dada zangu mnapovaa nguo za kuonesha maungo yenu nyeti mnakuwa mmeweka bidhaa sokoni?Kama ni ndiyo muwe mnaweka na lebo ya bei kama supermarket!!!!
 
BIASHARA NYINGINE HAZINA BEI MAALUMU. Wewe patana bei tu mzee wala usijali. Nimewasaidia tuu ingawa sio wa kike mkuu!
 
mimi ninavyojua binadamu hakuzaliwa akiwa amevaa nguo...sijui huu utamaduni wa kuvaa nguo aliutoa wapi na sijui alimuiga nani
 
Biashara matangazo kaka bila matangazo utavutiwaje kuichukua bidhaa hiyo.........
 
mh ni fashion tu jamani kwani akinadada tunapenda fashion mpya,
we chunguza ikija kuwa fashion ya kufunika mwili gubi gubi na wadada wakaipenda utaona wote wamefunika......ombea hiyo ije sasa hutaona kiungo chochot mmmh ila kina dada shughuli ipo mweee:yield:
 
wenyewe si wanasemaga wanawake ni maua
 
Sijui ni nature ya mabadiliko ya kimazingira au nn? Ila Mwl wangu wa Bios alishanieleza kw sehem ya ubongo wa kati kwa malediez inayoshughulika na mapoz ipo veri active na ndio maana wakikina dada huzungumza zaidi kwa vitendo km hivo, kanga moja pedo pusha n.k yote hayo ni mavazi, msg sent. Jitahidi mkuu kama namna gani vp shusha mistari kama Adam kwa Eva. Jipe raha ndugu yangu ukiwa domo zege shaulilo.
 
Hakuna fashion ya kuacha mwili wazi,kama unafanya jambo haufikirii una matatizo makubwa,mtu aliye timamu hawezi kuacha mwili wazi ndo maana vichaa ndo wanaacha miili yao hovyo!!
 
Sasa unakuta mtu ni mke wa mtu alafu kapiga pamba kama yuko kwa show room uyu nae anataka nini?
Huwa nawaza tungerudi zama za adam na hawa ata kubakana kusingekuwepo yaani tunakuwa tumeozea kuona kama mkono sikio etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom