Akina dada nao wamo??

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Hivi kwa upande wa akina dada inatokea na wao wakamtazama kijana na kumtamani kimapenzi kama wanaume itutokeapo?Mfano unaona makalio au mguu au kifua ukastukia mwili unasisimkwa,je na akina dada nao huwatokea?
 
heee.....mbona hiyo iko sana.....hata sisi huwa tunaangalia hivyo hivyo ila kimachale siyo kodokodo kama wanaume
 
Preta hujajua wanaume ambavyo huwa wanafeel. Ni tofauti sana na wanawake, sana.
 
heee.....mbona hiyo iko sana.....hata sisi huwa tunaangalia hivyo hivyo ila kimachale siyo kodokodo kama wanaume

Sasa unapomwangalia mwanaume unakuwa unawaza nini kichwani? Kwa mfano mimi, nikikuona wewe Preta ntakuwa nawaza au kukupiga picha kichwani mwangu jinsi ambavyo ntazichezea na kuzinyonya nyonyo zako, jinsi ambavyo nitayatomasa mapaja yako laini, ntakuwa nawaza jinsi ambavyo unatoa milio ya kimahaba ukiwa unafanya malavidavi n.k., n.k.
 
mimi nikikuona nitakuwa nawaza jinsi nitalala kifuani kwako (kwa tunaopenda vifua) na jinsi utafanya hayo yote uliyooroesha na kikubwa zaidi ni jinsi utanipa shughuli pevu.....
 
labda ktk hisia tunatofautiana lakini nia na dhumuni ni moja......

Angalia alichojibu Nyani Ngabu, hivyo ndivyo wanaume hujisikia. Cha kwanza ni kumvua mwanamke nguo mawazoni (sex). Navyofahamu wanawake wakienda mbali sana ni kuwaza kukumbatiwa na denda, lakini sex si kitu cha kuwaza ghafla kama wanaume.
 
mimi nikikuona nitakuwa nawaza jinsi nitalala kifuani kwako (kwa tunaopenda vifua) na jinsi utafanya hayo yote uliyooroesha na kikubwa zaidi ni jinsi utanipa shughuli pevu.....

Sijui! Preta, aliyoyasema Nyani Ngabu ni mawazo ya wanaume hata wakimwona mwanamke anapita njiani. We ukimwona mwanamme anapita njiani unaweza kuwa haya uliyoyaandika? Navyofahamu wanawake huwa hawawazi sex haraka hivyo. kwa taarifa yako, wanaume wakimwona mwanamke anapita wanawaza sex naye halafu akishapita wanasahau. Akitokea mwingine dakika 2 baadaye wanawaza tena sex naye. Wanawake hawako hivi.
 
saa zingine hata sisi huwa tunawatamani kwa ajili ya sex tu na sio zaidi
 
Sijui! Preta, aliyoyasema Nyani Ngabu ni mawazo ya wanaume hata wakimwona mwanamke anapita njiani. We ukimwona mwanamme anapita njiani unaweza kuwa haya uliyoyaandika? Navyofahamu wanawake huwa hawawazi sex haraka hivyo. kwa taarifa yako, wanaume wakimwona mwanamke anapita wanawaza sex naye halafu akishapita wanasahau. Akitokea mwingine dakika 2 baadaye wanawaza tena sex naye. Wanawake hawako hivi.

hapo nakubali....na sio kumuona tu mwanaume akitoka ku-do saa hii akipata mwingine mpya saa hiyo hiyo anaanza upya......hapo ndio mlipotushinda
 
mimi nikikuona nitakuwa nawaza jinsi nitalala kifuani kwako (kwa tunaopenda vifua) na jinsi utafanya hayo yote uliyooroesha na kikubwa zaidi ni jinsi utanipa shughuli pevu.....

Uwazi wako unanivutia sana!
 
hapo nakubali....na sio kumuona tu mwanaume akitoka ku-do saa hii akipata mwingine mpya saa hiyo hiyo anaanza upya......hapo ndio mlipotushinda

Ntakutafutia ushahidi zaidi. Kwa kuanzia sikiliza nyimbo 1. I'm real - JLO ft Jah Rule, 2. Mesmerize - Ashanti ft Jah Rule. Sikiliza anachosema Jah Rule na Wanachosema JLO na Ashanti ndo utajua tofauti. Nitakupa mifano ya Bongo flavour pia.
 
mimi nikikuona nitakuwa nawaza jinsi nitalala kifuani kwako (kwa tunaopenda vifua) na jinsi utafanya hayo yote uliyooroesha na kikubwa zaidi ni jinsi utanipa shughuli pevu.....

Sijui kama ni kweli....uzoefu wangu waonyesha kuna chumvi nyingi preta ameweka................................shughuli pevu labda siku hizi maana hata hivyo sisi wengine ni wachovu.............hata kufikiria
 
Sijui! Preta, aliyoyasema Nyani Ngabu ni mawazo ya wanaume hata wakimwona mwanamke anapita njiani. We ukimwona mwanamme anapita njiani unaweza kuwa haya uliyoyaandika? Navyofahamu wanawake huwa hawawazi sex haraka hivyo. kwa taarifa yako, wanaume wakimwona mwanamke anapita wanawaza sex naye halafu akishapita wanasahau. Akitokea mwingine dakika 2 baadaye wanawaza tena sex naye. Wanawake hawako hivi.
3D, upo sawa kabisa.............. sisi wadada siyo kama wakaka. nadhani tumepishana kwa sana tu. mtu unaweza kumwazia mkaka hivyo kama una-angalau feelings naye, na siyo kila mkaka anayepita njiani
 
Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!
 
mmmmh....sasa sisi hutuoni ni hivyo je kwa wale unaowaona live inakuwaje?......NN unatisha ujue
 
Back
Top Bottom