Akina dada kuweni makini na wamasai wanapo wasuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina dada kuweni makini na wamasai wanapo wasuka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Feb 3, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unakuta wamasai pale llala wameshambulia kichwa cha dada/mama huku wakimgeuza kila pande wakikishambulia, lakini si mnajua macho hayana pazia sasa nikagundua wamasai wanacheza kamchezo kamoja kachafu sana kuwasogeza dada zetu kwenye nyeti zao mmmmh agggrrrrrrrrrr yule dada aliye kuwa akisukwa angekuwa na sweetheart wallah wale wamasai wangekiona cha moto.
  Lakini nilivyo peleka baada hii kwa walengwa wanadai tena wamasai hao hao wanalazimisha hadi kuomba namba za cmu kwa ajili ya kazi ya usiku wanadai unaweza ukawa umepumnzika na Mr. nyumbani yeye akakupigia wkt mlisha malizana ukiuliza masai unashida gani usiku anasema anataka ile kitu inamesa mwenzie akina dada kuweni makini.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama dada ndo umempa namba ya cmu ndo balaa usumbufu na wanalazimisha ile kitu inayo mesa mwenzie.
   
 3. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!fidel nimekuskia,,,lol
   
 4. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wananishinda kutema tema mate huku unasukwa
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hao kaka zako hao bana mmmh lakini naona ni wale wa Mlandizi hapo Ruvu sio wale wa Longido
   
 6. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kuto kuvaa chupi
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umewahi sukwa na wamasai?
   
 8. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu unajua hawavai Undies....
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo fikiria anakisogeza kichwa chako karibu na kengere zikilia mmmh
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unavyo sukwa anakubana kwenye mapaja ile filimbi yake ikianza kulia sijui panakuwaje hapo?
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  leta ushahidi
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  wanawake bana!
   
 13. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndio kama mara mbili, Nilijuta. Sasa hivi mie na nywele zangu fupi tu.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehe nini kilicho kusibu mpaka ukajuta?
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mkuu naona unabeep .
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  nawaangalia wanawake na wamasai.......
   
 17. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :A S 20::laugh::laugh::laugh:Hebu nijuzeni wajameni, hiyo kitu inayomesa nyenzio ni kitu gani hasa?????????????????????????????:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
   
 18. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na yale mafuta yao wanayo paka nayo issue ya kipekee
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,765
  Trophy Points: 280
  Kabla wamasai hawajaanza kuwa wasusi, hawa dada zetu walikua bora wasimame kwenye daladala kuliko kukaa siti moja na mmasai eti walikua wanasema wamasai wanatoa harufu mbaya, sasa leo hii unamkuta mdada amebananishwa kichwa chake katikati ya mapaja ya mmasai. Au siku izi hawatoi harufu mbaya kama ilivyokua awali???
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  baada ya kuona sredi hii, unaweza kumruhusu waifu wako akasukwe na mmasai?
   
Loading...