Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

Sasa km ana mahitaji huko Kariakoo asiende sbb ana mimba?

Mimba si ugonjwa, so km huna complications zozote, mwanamke anaweza fanya shughuli zake hadi siku anasikia uchungu.

kwani kuna ulazima we yeye kwenda, akianguka kwenye Umati wa watu, akigongwa na watu mambo kama hayo.
 
Wanaume na sisi mara nyingine hamnazo kweli...kwani mimba ni ugonjwa? Nini tatizo kama mwenye mimba akiamua kujichanganya?
 
Maporoso lazima utakua mjamzito sasa hivi!
Hongera sana, Mungu akujalie ujifungue salama!
 
Na wewe utakua unawashwa sasa hivi!
Hongera sana kwa kuwashwa, Mungu akujalie upate mtu wa kukukuna salama!
MP.
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.
Labda waulizwe hao waliowapa mimba vyereje? Iwapo mimba ni kitu cha kufichwa!
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Four words. . .C.R.A.P!
 
Halafu next time ukome kuparamia watu! Huu uzi umenidhihirishia we ni mtoto tu ukikua utaacha!
 
Kausha wewe ........ Unatafuta mume?
MP.

Nilishatoa maelezo kule ulikoacha tusi lako! bahati nzuri au mbaya mods wameshatoa ile thread! its not my attitude kutukana! niliyokuwa nimekujibu yanatosha! mimi si wakukalia kilmya ujinga hata siku moja umeingia pabaya! next time just watch your steps!
 
Ujinga unaujua wewe. embu peleka kule.
MP.
 
Nilishatoa maelezo kule ulikoacha tusi lako! bahati nzuri au mbaya mods wameshatoa ile thread! its not my attitude kutukana! niliyokuwa nimekujibu yanatosha! mimi si wakukalia kilmya ujinga hata siku moja umeingia pabaya! next time just watch your steps!

Ulichoandika huko hata mimi sikukiona, embu kiandike tena hapa ili twende sawa .......
MP.
 
Lol. .natafuta mume utakuwa wewe? mjazito wa kiume du! nshakwambia shukuru social ntwk unacommunicate na watu hata wa maana mana in real life hata kunisogelea ungeogopa! yani mume wewe? subiri wa kukutia ujauzito hapa? mwanaume kama binti!
 
Ulichoandika huko hata mimi sikukiona, embu kiandike tena hapa ili twende sawa .......
MP.

Sina muda mchafu! naona una njaa ya kujaza thread ndo mana unaparamia watu! unanukia marashi ya ulimbukeni kila kona pole sana!
 
mada labda ungeshangaa kama mimi nishangaavyo mimba za siku izi vitumbo vya wadada vinakuwa na pembe nne au kamechongoka kama ncha ya penseli ya mtoto wa chekechea, sijui watunga mimba ndo wanafanya vinakuwa vile ama ni mabadiliko tu ya hali ya hewa. wakati mwengine natishika kitatoboa
 
tehtehteh ......mimba ina pembe nne!! kha.
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom