Akina dada hii imekaaje?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ukiwa na mahusiano na mapya je hayo mahusiano uanza vipi? wakati kwa vyovyote vile lazima unakuwa na mhusiano ya mwanzo??Japo silazima yawezekana huna lakini waliowengi mnakuwa nao Unazanz vipi??au unakuwa umecheat??
Je wale wazamani huwa mnawatupa mojakwamoja?au pale mkikutana kwenye kumi na nane zetu lazima mpige tukio??
 
Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?
 
Subiri hapo hapo wanakuja kukupa jibu niliwaacha hapooo nyuma wanakuja!!
 
Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?

Usishangae daughter, si mambo ya mfume dume mabaya yote huelekezwa kwa wanawake, au umesahau? vumilia tu ukisema sana utaambiwa kuwa wewe ni mwanasheria bure ukaja kukosa mume
 
Aiseeeeee kumbe maduu wanasheria hawafai eenh?
 
Wadada kazi mnayo mwaka huu, si kwa CCM tu.......lazima nanyie mjivue magamba kujiandaa kujibu maswali jamvini maana haipiti siku..'oh..kwa akina dada...
 
Usishangae daughter, si mambo ya mfume dume mabaya yote huelekezwa kwa wanawake, au umesahau? vumilia tu ukisema sana utaambiwa kuwa wewe ni mwanasheria bure ukaja kukosa mume

hapo nilipobold.....ndio pananiwekea kikomo cha kuchangia hii thread......
 
Lakini wewe, wengine wanakuwa wametoka kwenye kuachwa hivyo huwa singo, wengine kama mimi nilivyoona moyo wangu umeanza kuonyesha dalili za kukubaliana na request za mpya ndio hapo nilipoanza kamchakato kakumdelete wa zamani, kwa hiyo mapaka nakubaliana na mpya huku kwa zamani nilikuwa nimeshaklia. Ila nao cheaters wapo.
 
Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?
Umeongea kama ni kitu ambacho bado kinaendelea Umeshaclear relations ngapi?
Bado unaendelea kuclear?
 
Yah its a continuous process,bado ntaendelea kuclear tu mpaka day love itaanza kulead the way
 
asikwambie mtu penzi jipya ni tamu...................ni kucheat tu huo ndo ukweli wenyewe
 
Brazakiiza,kwa upande wangu huwa naclear mahusiano ya nyuma kabla ya kuanza mapya. Lakini kwa nini unaulizia wadada tu?nyie wakaka huwa inakuwaje?

in blue, tunaacha na kusahau...
tuna establish new relationship tukiwa single, wewe una uzoefu upi kwenye hili???
 
Back
Top Bottom