Akina dada bwana!, fedha au ufike kileleni, chagua moja,

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
 
Watu wengine mnasumbuliwa ubahiri tu. Kama unaona unaibiwa, badala ya kukaa unalialia si unaacha tu kuwafuatilia hao akina dada?
naona unashindwa kuelewa..yaani hawa wenzetu wanapata mara mbili...yaani utashangaa anakwambia, mi bado halaf baada ya hapo unajikunja unamfikisha kunako...heee...mara nataka hela...sasa ya nini kama wote tumepata raha?
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
Kiongozi! kama unataka ngono salama na isiyo na manung'uniko chukua makahaba yale yanoyojiuza.
 
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara baada ya shughuli, unadai eti hela...huwa mnasemaga hivi....., ooh, nifanyie mpango nikanywe supu....ooh, nataka nauli ya taxi nirudi nyumbani.,....halafu hizi kucha nataka nikazibadilishe rangi.... Sasa kama unataka nikugharimie kihivyo, ya nini utake nihangaike vilevile kukufikisha kunako kilele cha kibo? Yaani wewe unapata faida mara mbili.....Ungechagua moja kati ya haya...kufika kibo au hela na siyo kupata vyote kwa pamoja. Mbona mnataka kutupunja sisi wanaume?
Kuanzia sasa, ukigharimiwa basi sahau suala la kufikishwa kibo, ukitaka ufikishwe kibo basi na wewe uchangie gharama za maandalizi ya shughuli.......
Delila alimlambalamba Samson mpaka akamwambia siri zake zote, sasa naona na wewe kuna kitu unataka kuchimba huko na kwa hakika utaipata.
 
naona unashindwa kuelewa..yaani hawa wenzetu wanapata mara mbili...yaani utashangaa anakwambia, mi bado halaf baada ya hapo unajikunja unamfikisha kunako...heee...mara nataka hela...sasa ya nini kama wote tumepata raha?

Vp mkuu kale kalichoomba hela y saluni umeshakabandua?! mbn huja2letea wadau feedback au ndicho kichokuletea mpango huo!!
 
jaman basi wewe chagua moja kutupa pesa au kutufikish akileleni
lol mna mambo nyi e
ila ki ukweli tunafaidi

Shalis ntakupeleka Everest ili ukaone fahari yote ya dunia hii...nipe tyme yako mama!!
 
Vp mkuu kale kalichoomba hela y saluni umeshakabandua?! mbn huja2letea wadau feedback au ndicho kichokuletea mpango huo!!
si ndio hako baada ya kukapatia hela ya saluni na kulipia rum kalikuja na swaga la hela ya supu...... yaani mademu kwa kweli......
 
Back
Top Bottom