Akina baba kuweni makini na wapangaji japo akina mama chanzo cha kuwafanya wapangaji kuwanyandua

Kwa hiyo ww kila nyumba ulikuwa unaishi ambayo mwenye nyumba mko nae.
Chai zingine hizi. Na kwanini usingejiongeza kutafuta ambayo hutaishi na mwenye nyumba?
 
Mim nakula hata awe positive, huwa inatokea wamama kunitaka ila huwa nawategeshea waseme ila wanaishiaga matendo tu,akiomba live siwez muacha
 
Miaka minne iliyopita, kipindi nimepata kazi jijini Dar es Dalaam

Nilianza kupanga nyumba maeneo ya hapa Dar, japo nilikuwa sikai nyumba moja zaidi ya miezi 6, nilikuwa nachoka tu na kuamua kutafuta sehemu nyingine na sijui shida ilikuwa nini na mpaka kodi nilikuwa natoka kabla ya mda

Nilikuwa na heshima sana japo wengine waliniona boya fulani, nilikuwa nakumbuka sana maneno ya mamangu kuwa mwanangu ishi na watu vzr na usijekumdharau mtu, kumbuka kusemehe kama mtu akikukosea Ila usikubali uonevu

Ni kweli kipindi cha nimekuwa mpangaji kwenye hizi nyumba, akina baba ni wastaarabu sana ila akina mama ni tatizo kubwa sana

Nilikutana na unyanyapaa tena mpaka natishwa na mama wa nyumbana kuwa usipolala na mimi kwangu utahama na lazima nimwambia mzee kuwa unanitongoza, nuliumia sana nikaja kuhama ghafla tu na mzee alisikitika Sana

Nyumba ya pili mzee alikuwa ni wa kusafiri sana nikawa na maisha fulani nikiwa off nipo home nitashinda tu ndani mpaka usiku kukwepa mazoea na mama mwenye nyumba,kuna siku kanipigia simu usiku wa saa 6 nikamfungulie gheti ,nikaamka,nikafungua nikamsalimia na kufunga gheti maana mlango wangu nilivuta tu, narudi ndani namkuta yuko kitandani anasema amezidiwa nimpige tu mashine atatunza siri, yule mama hakuamini machoni nilimwambia ngoja nikafunge gheto vzr, nilitoka nje na kwenda kulala gesti kesho yake nikaamka asubuhi kwenda kutafuta chumba kingine alishaangaa tu nimekuja na gari pale na kuhama siku hiyo hiyo

Sasa hiyo nyumba ya tatu ndo ilikuwa balaa kweli kweli ,mama mwenye nyumba ananitaka na watoto wake wananitaka na shangazi yao pia ananitaka jamani acheni tu wapangaji kuweni makini ukimwi unaua, ikabidi nimwambie baba mwenye nyumba nilimtoa siku moja tukaenda kunywa soda bar moja ya jirani nikampa mkanda mzima, yule mzee aliniambia hongera kwa huu ujasiri na ubarikiwe ,mzee aliniambia a to z wale wote ni positive na mzee pia anatumia dawa na mpaka leo dawa zake nampelekea kwake,yule mama kila akiniona anatokwa na machozi anasema nisamehee kijana ningekua kwa uzembe huwa namwambia mama niko makini sana

Ushauri wangu kwa vijana mnaopanga kuweni makini na kataeni hawa wanawake afya yako ni maisha yako

Nimemaliza.
Hii hadithi 95%ni ya kubumba
 
Well spoken
 
Na kina mama wawe making pia na wapangaji ..si kina baba tu pekee.
 
Back
Top Bottom