Akililia wembe mpe

KOROBOI

Member
Sep 6, 2011
10
5
Najiuliza hivi nani jeuri kati ya pesa na sisi masikini nakusaka kila siku unaniambia hupatikani,
nauza mwili unakuja kidogo.........n.k
 
Piga hodi wewe mtoto... Unaingia mara unaanza kujaza server kwa craps..... Una maana gani kwa hii uliyopost......
 
Simwelewi?. Au huku jf wanakuja watu waliowehuka?
 
unauza hadi mwili???................huh,hbu nipe ripoti za kona bar kuna mali mpya?
 
Huyu jama ni KOROBOI, labda ameishiwa mafuta amezimika ndiyo maana haeleweki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom