Akili za Mkopo

Kuna cku nmepanda basi Morogoro kuja Dar, mara jamaa akaibuka anauza vitabu vinahusu kilimo na biashara jamaa ameandika mwenyewe, nkamuuliza ushawah kulima? Ushawah kufanya biashara?

akaanza ooh ndio nmetoka chuo cjawah nimefanya tu research, nkamuambia haya poa
 
*Maisha sio poa kabisa Jamaa yangu amemaliza kuandika kitabu kuhusu mbinu za kupata pesa. Sasa anatafuta pesa kwa ajili ya kuchapisha kitabu hicho.*

*Ameniomba pesa nimemwambia asome kitabu alichoandika.*

```Akili za Mkopo```
 
Back
Top Bottom