Akili za hivi vichwa viwili,wewe unaweza kusemaje?,fananisha au tofautisha.

mosagane

Senior Member
Jul 24, 2012
122
25
Wajamani wanaJF,baada ya kufuatilia na kuangalia bunge letu la jamhuri ya muungano wa Tanzania,nimepata mada hii ambayo nakuja nayo humu jamvini ili na nyie mtoe mtazamo wenu.Angalia picha hii,kisha ulinganishe akili za hivi vichwa viwili,kati ya hicho cha pichani na hiki kinachoweza kusema maneno haya”Mh.spika,bajeti hii ni mbovu sana,imejaa mapungufu matupu,haina jipya wala haina matumaini yoyote kwa watanzania”Mh.spika,naunga mkono hoja kwa 100%

 
Akina silinde hao.mimi nafikiri anajiita mwanachama wa ccm ana laana.haiwezekani upinge kila kitu alafu unaunga mkono hoja.ukitaka kujua au kuamini hii laana angalia kwa shibuda,anaikataa sisiemu huku anaikubali,ukiwa ccm lazima uwe mnafiki tu.
 
Sio kuwa katika chama cha sisiemu wala uzio / wall au kingine chaitwa meli na au boti,

Tatizo ni hili ili kuwa mwanasiasa ni lazima uondoe aibu, usiwe halisi (uwe kinyonga) .
Yaani kwa kifupi uwe kama bendera inafuata upepo.

Siasa ni lazima uwezo wa kutokuelewa hata rangi nyeupe na neyusi uwe nao (yaani nyeupe useme ni nyeusi ukiwa na uwezo huu basi utafaidika sana katika siasa).

Ila ikitokea upo katika siasa na ukaanza kutambua tofauti ya rangi hizo mbili basi acha siasa maana utapotezwa asubuhi na mapema sana haaaa,, haaa haaaa haaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom