rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,183
- 20,140
Kumbe ndio maana al shabab wanawanyuka kila mara kwa silaha zenu duni.
brand gani mnatengeneza watani wetu tuzioneTanzanian bunduki zimeanza kutengenezwa miaka ya sabini.
Your comment betrays your decaying grey matter. American military has changed from the M16 to the M4A1 carbine as a standard issue.
HAHAHA, Go back to selling oranges, you senile idiot. You have already proven you know nothing about anything not geography, economics or finance.
I think it is past your bed time, hence the idiotic senile rant.
So you Quoted me 3 times for my single comment? HAHAHAHA I can see the kiwaru you are desperately trying to swallow as you fight back salty tears...Go play with your toy guns, Tanzania's Police and military use only Russian,israeli,American or British Guns...Come play at the borderOh you did not know that the british and american military were part of the certification process for the gun since it has to work with all other additions from nato like grenade launchers for the M4 carbine?
I also know, you did not know that it has been certified for compliance with NATO standards by American military.
Go to sleep old man.
Maasai kuja nairobi tapea wewe AK47 ya kuchunga ng'ombe. Hapana chukua hizo takataka za jubileeConfused element. On another thread about the Kenyan made assault rifle: Which is which?
ni kweli kabisa mkuu
Tanzanian bunduki zimeanza kutengenezwa miaka ya sabini.
Acheni mzaha bana. Hata wapiganiji wa Mau Mau pia walikuwa wanajitengenezea bunduki zao. Enzi hizo za vita dhidi ya mkoloni, miaka ya 1950s, kama hivi.mkuu, kwanini wakenya washindwe kuunda bunduki wakati hapa tanzania hatuna kiwanda cha bunduki ila kuna wananchi wanaunda ? au hujawahi kuona bunduki hizo hapa Bongo ? ni magobole
Confused element.Maasai kuja nairobi tapea wewe AK47 ya kuchunga ng'ombe...Hapana chukua hizo takataka za jubilee
You didn't have to expose him like that bro. Let him be a dumbass in peaceYour comment betrays your decaying grey matter. American military has changed from the M16 to the M4A1 carbine as a standard issue.
Mzinga cooperation (Morogoro) Wanatengeneza bunduki za kiraia. Civil gun.Mkuu, kwanini wakenya washindwe kuunda bunduki wakati hapa tanzania hatuna kiwanda cha bunduki ila kuna wananchi wanaunda? Au hujawahi kuona bunduki hizo hapa Bongo? Ni magobole
Akili ya kubuni mmeitoa wapi? Hiyo ni copy- paste ya AK47 au G3 nk.View attachment 1627211
The president holding one variant of the assault rifle.
The young people who made this gun are all under 29 years of age.
Upuzi yenye umejaza ni ya kupindukia. Hiyo inakaa AK 47 ama G3?Akili ya kubuni mmeitoa wapi? Hiyo ni copy- paste ya AK47 au G3 nk.
Do you feel proud of copying?
If your scientists are brilliants then why not invent a cure/vaccine for the Covid19, the dominant disease in Kenya right now.
Vipo vizee tena vya vijijini vinatengeneza silaha hatari sana hapa Tanzania sema vikikamatwa ni kuswekwa ndani badala ya kuvipeleka israel vikapate utaalamu zaidi.
Tuonyeshe basi hizo bunduki zinazotengenezwa na hawa vizee vijijini, kwa sababu hata hapa kenya vijana wanatengeneza bunduki mitaani na kushikwa kila wakati. Hata mau mau walijitengenezea bunduki ili wapigane na mzungu.vipo vizee tena vya vijijini vinatengeneza silaha hatari
vipo vizee tena vya vijijini vinatengeneza silaha hatari sana hapa tanzania sema vikikamatwa ni kuswekwa ndani badala ya kuvipeleka israel vikapate utaalamu zaidi
Mfumo ni ule ule ipokuwa kwenye hizi za kijeshi kuna jambo dogo linaongezeka auto allow cabinet.Tuonyeshe basi hizo bunduki zinazotengenezwa na hawa vizee vijijini, kwa sababu hata hapa kenya vijana wanatengeneza bunduki mitaani na kushikwa kila wakati. Hata mau mau walijitengenezea bunduki ili wapigane na mzungu.
Na je unajua tofauti ya bunduki ya kijiji na ya kutumiwa kwa jeshi?
By the way your ignorance is too much, Tanzania police force and TPDF are majorly equipped with AK47s , except a few special units that use other types.So you Quoted me 3 times for my single comment? HAHAHAHA I can see the kiwaru you are desperately trying to swallow as you fight back salty tears...Go play with your toy guns, Tanzania's Police and military use only Russian,israeli,American or British Guns...Come play at the border
Mimi hata sikuelewi umeandika kitu gani!!! Kiswahili chako ni kibovu.Upuzi yenye umejaza ni ya kupindukia. Hiyo inakaa AK 47 ama G3?
Afadhali ungesema inakaa M4A1 Carbine kwa sababu inakaa M4A1 carbine. Unaona jinsi akili zenyu hazifanyi kazi alafu tukiwaita wajinga mnakasirika.
Your comment betrays your ignorance.
As for science, yes our scientists are working with CDC on a vaccine. Nyinyi huko mihogo na maharage kutoka utotoni imefanya akili zenyu kuwa finyu kabisa. In fact we are second to south africa in scientific research in sub saharan africa, nyinyi hata hamjulikani.
ha ha ha, eti Kenyans are starving we concentrate on that?? the bitterness is too much, take a break kakaMimi hata sikuelewi umeandika kitu gani!!! Kiswahili chako ni kibovu .
Hiyo silaha ya kiamerika M4A1 (Assault carbine) inavyo vitu vya msingi vinavyofafanana na (AK47 sub machine gun), mfano Automation zao zinafanana pia zote ni "air cooled gas operated fire arms", katika M4A1 ya America inayo Telescope hiyo yenu haina sasa sijui unajivunia kitu gani kulinganisha hicho "ki shot gun" chenu na M4A1 carbine?!!🤣
Rifle ikiwa na barrel length less than 20" hiyo inaitwa Carbine.
Kimsingi nilichotaka ujue ni kwamba Basic function (automation mechanisms), ambayo ndiyo muhimu ili assault rifle ifanye kazi zinafanana katika automatic rifles na ndiyo hiyo mmekopi na kujidai eti mmebuni nyinyi wenyewe, silaha kama hizo watu huko Brazili na Ulaya huzitengeneza kama hobby nyumbani kwao, sasa sijui mnajivunia nini katika jambo dogo kama hilo wakati Covid 19 na njaa bado zinawatesa.🤣
Kila mwaka millions of Kenyans starve, why then not concentrate on that??---- Hivi yupo bora; the one who starves or the one who subsists on cassava and beans??!!
Angalia.View attachment 1627221