Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,555
2,000
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
3,078

Kadiri siku zinavyokwenda ukweli utazidi kutamalaki.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,557
2,000
JPM alikua ni the best president. Tukitoa changamoto ndogo ndogo za ubabe ila mwamba alikua Raisi kweri kweri anayejua namna ya kuiongoza nchi hii ya vilaza.
Ulaya ya sasa ilijengwa kwa udikteta. Pyramid za Misri zilijengwa na watumwa. Ukuta wa China ulijengwa kwa mijeledi.

Demokrasia, kwa nchi maskini, itaongeza umaskini. Wachache, hasa viongozi na wapambe wao matajiri, watafaidi na wengi watakuwa kwenye kundi la wanyonge.

KAZI IENDELEE kwa ari mpya, nguvu mpya, na kasi
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
19,414
2,000
libya imeshakuwa reference ya kila upuuzi unaotaka kuharalishwa.

mtu aliyeko namtumbo ndiye alinaejua asali ya libya ila mkaazi wa benghazi hajui chochote kuhusu hiyo asali.

utasikia:, walibya walikuwa wanapea dola milion 100 wakitaka kuoa
Hujui chochote!

Nyie ndio aina ya wale watu ambao mzungu akikuwa anakuja anawapa gololi kisha yeye anaondoka na dhahabu.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,867
2,000
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Endelea kuota mchana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom