Akili imegota jamani nipeni mawazo ya kupata mtaji wa kufungua duka la spea za pikipiki

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
852
1,005
Habari za jioni wanajf.

Katika kuhangaika na maisha nimepambana kiume mpaka nimefanikiwa kuwa na nyumba ya wastani na fremu Moja ya biashara IPO sehemu tofauti na nyumba.

Kikwazo ni mtaji ndugu zangu watanzaniå nipêni akili nipate mtaji Wangu kuna jirani kanipa bolt nimuuzie ananipa posho PESA zote zake japo fremu yangu.Nimekonda Kwa mawazo sehemu niliyopo ina gereji kubwa ya Pikipiki mafundi wananishauri niweke Spea tatizo PESA ndugu zangu nipeni mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtu wa kuingia nae ubia. Mnaweza mkaanza na mtaji mdogo na kuweka zile spea zinazotoka haraka ili kukuza mtaji
Na jenga maelewano mazuri na hao mafundi wa naweza kukupa oda kisha unawachukulia spea maana wanalipa kabla
 
Write your reply...ANZA NA BIASHARA NDOGO UJI MAKE UPATE HIYO NDEFU UAMIE HUKO KWENYE SPEAR SIO LAZIMA UANZE PAKUBWA


HALAFU ACHA WENGE LITAKUJA KUKU COSTI
 
Back
Top Bottom