Akili au matope ya viongozi wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akili au matope ya viongozi wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiyeyeu, Jan 8, 2011.

 1. k

  kiyeyeu Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa jumla ya megawati 880 za umeme zinazalishwa tanzania wakati demand ya umeme tanzania ni zaidi ya megawati 1000, jana nyarandu anasema wanaendelea na mchakato wa kuwavuta wawekezaji wengi hasa ktk sector ya viwanda ili ipatikane fursa ya ajira pia, hivyo viwanda vitavyojengwa vitatumia nishati gani wakati tanzania ya leo bado tuna mgao! Haya ni matope sio akili
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwani Mawaziri wanateuliwa kulingana na Professional zao?
  Nyalandu ana Professional gani?
   
Loading...