Akikuuliza mtu mjibu kwa mifano hai kama hauna cha kumjibu basi bora ukae kimya

kwinyo

JF-Expert Member
May 2, 2017
281
230
Akikuuliza mtu mjibu kwa mifano hai kama hauna cha kumjibu basi bora ukae kimya.

Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na Ugaidi,

akamjibu:
> Nani alieanza vita vikuu vya dunia vya mwanzo ? Waislamu ?!
> Nani alianzisha vita vya pili vya dunia? Waislamu?!
> Nani alieuwa watu milioni 20 raia wa Australia? Waislamu ?!

> Nani alielipua kwa nyuklia ilie miji miwili ya Japan ? Waislamu ?!
> Nani aliesimamia mauwaji ya wahindi wekundu zaidi ya milioni 100 kule Marekani ya Kaskazini ? Waislamu ?!
> Na nani alieuwa zaidi ya wahindi wekundu milioni 50 Marekani Kusini ? Waislamu ?!

> Nani alewatumikisha kiasi cha watumwa milioni 180 wakiafrika na kuuwa asilimia 88% ya waafrika hao na kuwatupa bahari kubwa ya Atlantic? Waislamu ?!

Hapana hawakuwa ni waislamu !!!
Kisha akamwambia: kabla ya yote unatakiwa uitafute maana ya Ugaidi vizuri, kwani asie muislamu akifanya kosa huitwa ni kosa la kawaida ama muislamu akifanya kosa lile lile huitwa Ugaidi !!! Hivyo ni juu yako kutopima kwa mapimio ya wenzio na huko ndio utawajua vizuri ni nani hasa Magaidi.?
 
Ulamaa amechukizwa na mtu leo sio bure ngoja nikae kimya kama ulivyoshauri
 
Dini zote zinazotisha watu kwamba wakifanya dhambi wataunguzwa moto ni dini za kigaidi.

Kitishohicho tu ni ugaidi tayari.

Na tamaduni zinazotokana na dini hizo haziwezi kukwepa ugaidi.

Zinaweza kushindana tu,nyingine zikawa zimeweka kinga dhidi ya ugaidi, nyingine zikaruhusu zaidi ugaidi.
 
Dini zote zinazotisha watu kwamba wakifanya dhambi wataunguzwa moto ni dini za kigaidi.

Kitishohicho tu ni ugaidi tayari.

Na tamaduni zinazotokana na dini hizo haziwezi kukwepa ugaidi.

Zinaweza kushindana tu,nyingine zikawa zimeweka kinga dhidi ya ugaidi, nyingine zikaruhusu zaidi ugaidi.
Acha kuchangia ujinga mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom