Akikohoa anatoa chembechembe nyeupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akikohoa anatoa chembechembe nyeupe

Discussion in 'JF Doctor' started by Kipis, Aug 22, 2011.

 1. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni friend of mine,ana tatizo la kikohozi. Huwa inatokea anapokohowa,hutoka chembechembe nyeupe mithili ya punje za mchele.je linaweza kuwa tatizo gani linalomsumbuwa?
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,134
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  anaweza kuwa na tonsils za muda mrefu (mafindofindo)? je,ana maumivu kooni? ni vizuri akaenda kumuona daktari ili apate matibabu sahihi.
   
 3. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  Anasikia maumivu chini ya kifua mithili ya majeraha kwa ndani. Kwani takribani 3yrs ago, alipata ajari ya kupinduka kwenye gari. Kwa mujibu wa maelezo yake,hakupata majeraha yoyote alijisi
  kia yupo sawa.
   
 4. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kwa maelezo haya tu, mpeleke rafikiyo hospt. haraka kwa uchunguzi wa kina.
   
 5. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,281
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  tatizo halisababishwi na maumivu ya tumbo bali kama ilivyosemwa juu hapo. Ishu inaanzia kooni. Jirani na kimeo kuna nyama lanini zenye vifuko. Sasa vifuko vimejaa. Anaweza kuvikamua pia kwa kupithsha uidole
   
Loading...