Akifanya check up ilihali akitumia dose vipimo vitaonyesha sahihi?

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Ndg Wana Bodi ya JF Amani iwe kwenu.
Nina ndugu ambaye anatumia Dawa antiobatc ya Muwasho kwenye mwili ana dose ya Mwezi mzima.
Wasiwasi wake je akifanya check up hali akitumia dose vipimo vitaonyesha sahihi?
 
ndg Wana Bodi ya JF Amani iwe kwenu.
nina ndugu ambaye anatumia Dawa antiobatc ya Muwasho kwenye mwili ana dose ya Mwenzi mzima
wasiwasi wake je akifanya check up hali akitumia dose vipimo vitaonyesha sahihi?
Funguka antibiotics gani anatumia za muwasho maana ukiongea muwasho unazungumzia antihistamine sasa yeye ana shida gani elezea kwa kutulia ili upate ushauri sahihi
 
ni Griseofuivin dose ya Mwenzi, Muwasho ni wa kila akioga.

Check up ni kwa ajili ya tumbo na maeneo mengine.
 
Griseofluvin sio antibiotic hiyo ni antifungal pia kama ana washwa akioga nadhani pia aonane na wataalam ili apewe na antihistamine kwa ajili ya allergy
Check up ya tumbo haiathiriwi na hiyo dawa anaweza fanya tuu haina shida
 
alishauriwa na famasist atumie kwanza hiyo kwa kuwa huo Muwasho ni wa zaidi ya miaka miwili Dr.
 
Griseofluvin sio antibiotic hiyo ni antifungal pia kama ana washwa akioga nadhani pia aonane na wataalam ili apewe na antihistamine kwa ajili ya allergy
Check up ya tumbo haiathiriwi na hiyo dawa anaweza fanya tuu haina shida
na vp anaweza kufanya check up ya mwili mzima Dr? samahan kwa usumbufu!
 
Back
Top Bottom