Akidanganya mbunge wa ccm kimya;upinzani omba radhi;spika uko sawa kweli?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akidanganya mbunge wa ccm kimya;upinzani omba radhi;spika uko sawa kweli??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,191
  Likes Received: 5,601
  Trophy Points: 280
  Jamani
  nimesoma mwanachi gazeti leo naona mbowe ameomba waziri wa miundo mbinu aombe radhi kwa kulidanganya umma
  kuhusu mkataba wa kia..mbowe alienda mbali kwa kusema inasikitisha kuona waziri kmwenye upeo anaeheshimika katika baraza la mawaziri kujibu utumbo wa mkataba ati serikali ilishachukua hisa za uwanja wa kia wakati ni uoongo na hapohapo anasema hata kama akuna matatizo kwenye issue za mikataba atuvunji kirahisi tunaitana tunarekebisha na mambo yanaendelea kama kawaida

  huyu ndie nundu atcl omary/540 spika akaanza kwa kumpongeza mbowe na kuelekea kwa waziri kwa majibu yake mazuri yenye ufwasaha....babu kubwa kidumu chama
   
 2. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msiogope wanamapinduzi kwa kuwa kumpata spika huyu tumepata mtu muhimu anaeizika CCM kila kukicha bila ya yeye kutambua.keep it up mama hizo double standards ziko wazi mno.Nimeshangazwa sana kuona sauti ya TBC TV inafifishwa alipokuwa akizungumza Mh.Mbowe!!!aibu hata mbinu basi mjifunze!!!!
   
 3. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hayo yote ni kutokana na sisi watanzania kutokutumia nafasi inayojitokeza kila baada ya miaka mitano(5) na hayo ndo maamuzi ya viongozi MAPIRATO,
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Ni double standard kwenye utendaji wa mama.
   
Loading...