Akicheka ana mwanya!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,154
56,705
mrboney1.gif

Huyu si yule ninaemzungumzia la hasha!! ila kipindi ana gimba jeupe kichwani mwake na maji yatembeayo ktk viunga vyake alionekana mahili,jasiri na mwenye fadhili.
kila alipopita alipigiwa makofi na vigelegele,utashi wa kazi zake ulikuwa wa haki ndivyo wasemavyo lkn nini sasa..?

wakati uliopita si wa sasa,wasasa unaenda na wasasa huku ngoma ikipigwa kwa milindimo tofautitofauti wachezaji nao wanaenda tofauti!!
hata hivyo akicheka anamwanya hajui hilo ila gimba lake jeupe lilihisi hivyo!. waekaji wa historia walimuweka ktk mitindo tofautitofauti lkn mpiga ngoma sijui hajaielewa mitindo hiyo!,basi ngoma ipigwe,ichezwe,turuke ila tusimsahau akicheka anamwanya.
 
Kama ninakupatapata hivi lakini bado naona mawenge.,U mean yule (s.s)anayepigiwa chepuo la mfano wa kuigwa hivi karibuni & . .................. Kwa wakati tuliopo.
images-802.jpeg

images-542.jpeg
 
mrboney1.gif

Huyu si yule ninaemzungumzia la hasha!! ila kipindi ana gimba jeupe kichwani mwake na maji yatembeayo ktk viunga vyake alionekana mahili,jasiri na mwenye fadhili.
kila alipopita alipigiwa makofi na vigelegele,utashi wa kazi zake ulikuwa wa haki ndivyo wasemavyo lkn nini sasa..?

wakati uliopita si wa sasa,wasasa unaenda na wasasa huku ngoma ikipigwa kwa milindimo tofautitofauti wachezaji nao wanaenda tofauti!!
hata hivyo akicheka anamwanya hajui hilo ila gimba lake jeupe lilihisi hivyo!. waekaji wa historia walimuweka ktk mitindo tofautitofauti lkn mpiga ngoma sijui hajaielewa mitindo hiyo!,basi ngoma ipigwe,ichezwe,turuke ila tusimsahau akicheka anamwanya.
🤔👼👼
 
Back
Top Bottom