Akiba ya fedha za kigeni - kila mtanzania anaweza gawiwa laki mbili zikiwemo mimba changa

Masanja Maguzu

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
547
396
Kwa maelezo ya JPM hazina yetu iko vizuri tunaweza hemea miezi sita bila shida. Kwa hesabu iliyopo kila mtanzania anaweza gawiwa lakimbili zikiwemo mimba na chenji ikabaki. Hizo ni za kigeni tu zilizoko benki kuu achilia zilizoko kwenye account zingine. Nazile anazotembeaga nazo.
 
Kama pesa anazo si awaongezee mishahara watumishi!?
Mbona elimu bure imewashinda!?
Mbona wastaafu wanazungushwa kupewa mafao yao!? Na pia wanapunjwa!??

Maneno yake na hali halisi iliyopo haviendani.
 
China wangekuwa wanawaza hivi wala usingekuta wapo hapo walipo hivi sasa....
 
Ukiona mtu anaongea sana kinyume chake inahusu. Tumuombee.
 
Back
Top Bottom