Akaunti za waigizaji wa ngono zaondolewa Instagram

Wakujilipua

JF-Expert Member
May 5, 2018
1,591
1,391
Mamia ya akaunti za waigizaji wa filamu za ngono zimetolewa katoka mtandao wa Instagram mwaka huu, huku wengi wakisema watu hao wako katika hadhi tofauti kuliko nyota wa kawaida.

Mtandao huo umedai akaunti hizo huchapisha maswala yaliyo kinyume cha sheria za mtandao huo.

Sasa toa maoni yako kuhusu hatua hii.
 
Back
Top Bottom